Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

 SEHEMU YA 2

Mwanzo wa Huduma ya Yesu

“Ona, Mwanakondoo wa Mungu Ambaye Huondoa Dhambi.”—Yohana 1:29

Mwanzo wa Huduma ya Yesu

KATIKA SEHEMU HII

SURA YA 12

Yesu Abatizwa

Kwa nini Yesu alibatizwa ikiwa hakuwahi kutenda dhambi?

SURA YA 13

Jifunze Kutokana na Jinsi Yesu Alivyokabiliana na Vishawishi

Vishawishi alivyokabili Yesu vinathibitisha mambo mawili muhimu kumhusu Ibilisi.

SURA YA 14

Yesu Aanza Kufanya Wanafunzi

Ni nini kilichowasadikisha wanafunzi wa kwanza sita wa Yesu kwamba walikuwa wamempata Masihi?

SURA YA 15

Afanya Muujiza Wake wa Kwanza

Yesu amwonyesha mama yake kwamba sasa anaongozwa na Baba yake wa mbinguni bali si yeye.

SURA YA 16

Yesu Ana Bidii kwa Ajili ya Ibada ya Kweli

Sheria ya Mungu ilikubali watu wanunue wanyama huko Yerusalemu kwa ajili ya kutoa dhabihu, basi kwa nini Yesu aliwakasirikia wafanyabiashara hekaluni?

SURA YA 17

Amfundisha Nikodemo Usiku

Ni nini maana ya ‘kuzaliwa tena’?

SURA YA 18

Yesu Aongezeka Naye Yohana Apungua

Wanafunzi wa Yohana Mbatizaji wana wivu, ingawa Yohana hana wivu.

SURA YA 19

Amfundisha Mwanamke Msamaria

Yesu anamwambia jambo ambalo inaonekana bado hajamwambia mtu yeyote.