Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Msaada Mtandaoni

Kutumia Tovuti ya JW.ORG

Jifunze jinsi ya kutumia sehemu mbalimbali za Tovuti ya jw.org. Tumia maelekezo ya hatua kwa hatua na madokezo yatakayokusaidia kurambaza, kutafuta, na kupakua. Pata majibu ya maswali kuhusu Tovuti ya jw.org.

JW Broadcasting

Pata msaada kwa ajili ya kutumia kituo cha televisheni cha Mashahidi wa Yehova, tv.jw.org mtandaoni. Jifunze mengi zaidi kuhusu kutazama video mfululizo, jinsi ya kuchagua video, na sehemu nyingine.

JW Library

Soma na ujifunze Biblia kwa kutumia Tafsiri ya Ulimwengu Mpya. Linganisha maandishi ya tafsiri nyingine za Biblia.

JW Library Lugha ya Ishara

Pakua, panga, na kucheza video ya Biblia pamoja na machapisho mengine ya lugha ya ishara ukitumia programu yetu ya kifaa cha mkononi.

JW Lugha

Programu hii ya kujifunza lugha ina habari zinazofaa huduma katika lugha nyingi. Inatia ndani kadi za kumbukumbu, rekodi za wenyeji wakizungumza lugha, kugeuza herufi za kiroma, na habari nyingine.