Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

JW Broadcasting Kwa King’amuzi cha Roku

JW Broadcasting ni kituo cha televisheni kilicho na habari zenye kujenga kiroho kwa ajili ya familia. Tazama habari zilizotayarishwa kwenye studio ya JW Broadcasting, na pia video kadhaa kutoka kwenye tovuti ya jw.org. Fungua sehemu ya Cheza Video Mfululizo ili ujionee video hizo kwa saa 24 au unaweza kutazama video moja moja kwa kubonyeza sehemu ya Chagua Video. Fungua sehemu ya Rekodi za Kusikiliza (Audio) ili usikilize programu mbalimbali za sauti kama vile muziki, drama, na drama za usomaji wa Biblia.

Tazama mtandaoni kwa kutumia kompyuta, tablet, au simu ya mkononi tovuti ya tv.jw.org. Tazama kupitia televisheni yako kwa kutumia Amazon Fire TV, Apple TV, au king’amuzi cha Roku.

 

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi

Kwa nini kituo cha JW Broadcasting hakipatikani kwenye king’amuzi cha Roku?

Lugha gani zinapatikana kwenye Roku?

Programu hiyo inauzwa pesa ngapi?

Kwa nini kadi ya benki inahitajika kufungua akaunti ya Roku?

Nifanyeje ikiwa jibu la swali langu halipatikani hapa?