Ni Nini Kipya?

2026-07-23

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Uwezo wa Chura Aliye Kama Kioo wa Kuzuia Damu Yake Kuganda​—Je, Ni Kazi Ya Ubuni?

Chura huyo mdogo husukuma asilimia kubwa ya chembe nyekundu za damu yake na kuzipeleka kwenye ini, jambo ambalo kwa kawaida linaweza kugandisha damu na kuwa hatari kwa uhai. Anafanyaje hivyo bila kupata madhara?

2026-07-20

MASIMULIZI YA MAISHA

Josette Garcia: Kuhubiri kwa Zaidi ya Miaka 40 Katika Mojawapo ya Nchi Zenye Joto Zaidi Ulimwenguni

Maisha nchini Mali hayakuwa rahisi kwa Josette. Lakini alipata shangwe alipotumikia huko kwa miaka mingi akiwa painia wa pekee na kisha mmishonari.

2026-07-17

TAARIFA ZA HABARI

“Usiogope”

2026-07-16

HABARI ZAIDI

Jinsi Biblia Inavyoweza Kuwasaidia Watu Walioathiriwa na Uhalifu

Je, unahisi woga, wasiwasi au umeshuka moyo kwa sababu ya jambo lililo kupata? Fikiria mambo matano ambayo unaweza kufanya ili upate nafuu hatua kwa hatua.

2026-07-14

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Oktoba 2026

Toleo hili lina makala za funzo za Desemba 7, 2026–​Januari 3, 2027.

2026-07-07

NYIMBO ZILIZOTUNGWA

Tushikamane Pamoja

Hata hali ziwe nguvu kadiri gani, tunaweza kushinda tukishirikiana.

2026-07-02

TAARIFA ZA HABARI

“Yehova Ananiamini”

2026-06-29

DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Novemba–Desemba 2026

2026-06-25

HABARI ZAIDI

Hifadhi ya Familia ya Kusserow—Urithi Wenye Thamani

Urithi huo unapaswa kuhifadhiwa wapi?