Sayansi na Biblia
Je, Biblia inapatana na sayansi? Biblia inapozungumzia masuala ya kisayansi, je, ni sahihi? Chunguza kile ambacho vitu vya asili vinaonyesha na yale ambayo wanasayansi wanaovichunguza wanasema kuvihusu.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Uwezo wa Homoni wa Kudhibiti Jinsi Mwili Unavyofanya Kazi—Je, Ni Kazi Ya Ubuni?
Kiwango cha madini kwenye damu hubadilika kila siku ikitegemea vyakula unavyokula. Kutengeneza, kuhifadhi, na kupeleka homoni kwenye damu kunasaidiaje mwili wako kuhakikisha kwamba una kiwango kinachofaa cha madini kwenye damu?

Maoni Kuhusu Chanzo cha Uhai
Je, Ni Kazi ya Ubuni?
Mageuzi na Uumbaji
Biblia Ni Sahihi Kisayansi
Machapisho
Uhai—Ulitokana na Muumba?
Ni muhimu sana kuchunguza msingi wa mambo unayoamini kuhusu chanzo cha uhai.
Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
Chunguza uthibitisho kisha ujiamulie kama utaamini mageuzi au uumbaji.
Maajabu ya Uumbaji Yanafunua Utukufu wa Mungu
Tunapoutazama ulimwengu wetu kwa makini, tunaweza kuona sifa za Muumba wetu na kumkaribia zaidi. Video za ziada zinaonyesha: nuru na rangi, maji, ubuni wa uhai, na maumbo.