Utendaji wa Mashahidi wa Yehova

MIRADI YA UJENZI

Awamu ya 8 ya Picha za Uingereza (Machi Hadi Agosti 2019)

Wafanyakazi wakiremba majengo kwa kutumia mchanganyiko maalum katika hatua za kumalizia ujenzi katika majengo ya makazi, ofisi, na uzalishaji. Wafanyakazi wa bustani na eneo la ujenzi wakiendelea kuandaa eneo lote la ofisi.

Kutumia Tovuti ya JW.ORG Kutangaza Ujumbe wa Biblia

Mashahidi wa Yehova, vijana kwa wazee, wanapenda kutumia tovuti yao iliyo na muundo mpya kuwafikia watu wengi iwezekanavyo na habari njema ya Ufalme wa Mungu.

Faraja na Msaada kwa Wagonjwa

Mashahidi wa Yehova wanawaonyeshaje waabudu wenzao upendo wanapokabili matatizo makubwa ya afya?

Kazi Yetu ya Kuhubiri

Kampeni Yenye Mafanikio Kwenye Eneo la Lapland

Soma jinsi wenyeji wa Lapland walivyoitikia jitihada za pekee zilipofanywa kusaidia jamii yao.

Kazi Yetu ya Uchapishaji

Neno la Mungu Lafanya Nyuso Zao Ziangaze

Kitabu cha Mathayo kilitolewa katika Lugha ya Ishara ya Kijapani. Ona jinsi lilivyo jambo la pekee kuwa na Biblia katika lugha inayogusa moyo wako.

Miradi ya Ujenzi

Awamu ya 8 ya Picha za Uingereza (Machi Hadi Agosti 2019)

Wafanyakazi wakiremba majengo kwa kutumia mchanganyiko maalum katika hatua za kumalizia ujenzi katika majengo ya makazi, ofisi, na uzalishaji. Wafanyakazi wa bustani na eneo la ujenzi wakiendelea kuandaa eneo lote la ofisi.

Awamu ya 8 ya Picha za Uingereza (Machi Hadi Agosti 2019)

Wafanyakazi wakiremba majengo kwa kutumia mchanganyiko maalum katika hatua za kumalizia ujenzi katika majengo ya makazi, ofisi, na uzalishaji. Wafanyakazi wa bustani na eneo la ujenzi wakiendelea kuandaa eneo lote la ofisi.

Kusaidia Jamii

Utoaji wa Misaada Baada ya Kimbunga Sandy​—Upendo Waonyeshwa kwa Matendo

Tazama ripoti inayoonyesha jinsi Mashahidi wa Yehova walivyowasaidia waabudu wenzao na watu wengine walioathiriwa na kimbunga kilichosababisha uharibifu mkubwa.

Maisha ya Betheli

Kukabiliana na Moto kwa Ustadi

Tukio moja lenye kuogopesha lilionyesha umuhimu wa mazoezi ya kukabiliana na moto.