Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Massimo Tistarelli: Mbuni wa Roboti Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Massimo Tistarelli: Mbuni wa Roboti Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu

Massimo Tistarelli ni mtaalamu wa roboti na anashughulikia hasa ubuni wa mifumo ya kuona ya roboti. Kuiheshimu sayansi kulimfanya aanze kuwa na shaka kuhusu imani yake katika mageuzi.