Kiswahili
Programu ya JW Language® Imeacha Kutumika
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/500800020/univ/art/500800020_univ_sqr_xl.jpg

APRILI 30, 2026
MAMBO MAPYA

Programu ya JW Language® Imeacha Kutumika

Programu ya JW Language® Imeacha Kutumika

Programu ya JW Language imeacha kutumika na itaondolewa kwenye maktaba ya kupakua programu. Hiyo ni kwa sababu leo kuna programu nyingi zinazopatikana ambazo zina uwezo mkubwa zaidi wa kufundisha lugha. Pia, habari nyingi zinapatikana mtandaoni pamoja na programu za akili mnemba ambazo zinaweza kutumika.