JW Broadcasting kwa Ajili ya Amazon Fire TV
Ili kutazama video au kusikiliza programu za sauti kutoka katika tovuti ya jw.org kwenye televisheni yako, tumia programu ya JW Broadcasting kwa ajili ya Amazon Fire TV, Apple TV, au king’amuzi cha Roku.
Unaweza kutazama video zetu zote kwenye mtandao katika tovuti ya jw.org. Nenda kwenye Maktaba > Video ili kuona video zote zinazopatikana, kutia ndani zile zilizorekodiwa katika studio yetu ya JW Broadcasting. Ili kujua mengi zaidi, ona Tazama Video kwenye JW.ORG.
KATIKA SEHEMU HII
Sakinisha Programu ya JW Broadcasting Kwenye Amazon Fire TV
Fuata hatua hizi ili kuunganisha na kutazama JW Broadcasting kwenye Amazon Fire TV.
Chagua Video Kupitia Amazon Fire TV
Tafuta video, tua, peleka mbele, rudisha nyuma video, na tazama video za karibuni na zilizoteuliwa.
Sikiliza Rekodi za Kusikiliza Kupitia Amazon Fire TV
Sikiliza programu ya rekodi ya kusikiliza au mkusanyo mzima. Sikiliza, tua, peleka mbele na urudishe nyuma kama upendavyo.
Tafuta Audio na Video Kupitia Amazon Fire TV
Pata video, nyimbo, au programu za audio kwenye JW Broadcasting ukitumia sehemu ya Tafuta.
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi—JW Broadcasting (Fire TV)
Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.

