Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW Broadcasting kwa Ajili ya Apple TV

JW Broadcasting kwa Ajili ya Apple TV

Ili kutazama video au kusikiliza programu za sauti kutoka katika tovuti ya jw.org kwenye televisheni yako, tumia programu ya JW Broadcasting kwa ajili ya Amazon Fire TV, Apple TV, au king’amuzi cha Roku.

Unaweza kutazama video zetu zote kwenye mtandao katika tovuti ya jw.org. Nenda kwenye Maktaba > Video ili kuona video zote zinazopatikana, kutia ndani zile zilizorekodiwa katika studio yetu ya JW Broadcasting. Ili kujua mengi zaidi, ona Tazama Video kwenye JW.ORG.

 

KATIKA SEHEMU HII

Sakinisha Programu ya JW Broadcasting Kwenye Apple TV

Fuata hatua hizi ili kufungua na kutazama vipindi vya JW Broadcasting kwenye Apple TV.

Chagua Video Kupitia Apple TV

Tafuta video, tua, peleka mbele, rudisha nyuma video, na tazama video za karibuni na zilizoteuliwa.

Sikiliza Rekodi za Kusikiliza Kupitia Apple TV

Sikiliza programu ya rekodi ya kusikiliza au mkusanyo mzima. Sikiliza, tua, peleka mbele na urudishe nyuma kama upendavyo.

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Broadcasting (Apple TV)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.