Kiswahili
JW Library kwa Ajili ya Vifaa vya Apple
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/802013032/univ/art/802013032_univ_sqr_xl.jpg

JW Library kwa Ajili ya Vifaa vya Apple

JW Library kwa Ajili ya Vifaa vya Apple

Jifunze kuhusu sehemu mbalimbali za JW Library kwa kutumia madokezo yanayokuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuitumia. Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi kuhusu programu hiyo.

 

 

Ni Nini Kipya?

Machi 2026 (Toleo la 15.7)

  • Safu ya habari za utafiti katika Biblia inaonyesha visehemu vya drama Habari Njema Kulingana na Yesu.

  • Baadhi ya matatizo yamerekebishwa kutia ndani yale yaliyosababisha tovuti hiyo kuganda au kutoweka.

Desemba 2025 (Toleo la 15.6)

  • Tumia kitufe cha kutafuta kwenye tabo ya Maktaba ili kupata machapisho, video, na rekodi za sauti kwa kutumia kichwa cha habari unayotafuta.

  • Baadhi ya matatizo yamerekebishwa kutia ndani yale yaliyosababisha tovuti hiyo kuganda au kutoweka.

  • Mifumo ya chini zaidi inayoweza kumudu JW Library sasa ni Android 8.0, iOS 15, macOS iliyo na chipu ya M1 au ya karibuni zaidi, Toleo la 10 la Windows ya 2004 au ya karibuni zaidi.

Oktoba 2025 (Toleo la 15.5)

  • Video na rekodi za sauti zitacheza kwa kasi ileile iliyochaguliwa hata baada ya kuzima na kuwasha programu.

  • Video inapochezwa safu ya taarifa na vidhibiti vinavyoonekana juu ya video hufichwa. Ili safu hiyo ionekane tena utahitaji kubofya video hiyo.

  • Baadhi ya matatizo yamerekebishwa kutia ndani yale yaliyosababisha tovuti hiyo kuganda au kutoweka.

  • Mifumo ya chini zaidi inayoweza kumudu JW Library sasa ni Android 7.0, iOS 15, macOS iliyo na chipu ya M1 au ya karibuni zaidi, Toleo la 10 la Windows ya 2004 au ya karibuni zaidi.

 

KATIKA SEHEMU HII

Anza Kutumia JW Library​—iOS

Jifunze jinsi ya kutumia sehemu mbalimbali muhimu za JW Library kwenye vifaa vya iOS.

Pakua na Utumie Biblia—iOS

Jifunze jinsi ya kupakua na kutumia Biblia kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Pakua na Utumie Machapisho​—iOS

Jifunze jinsi ya kupakua na kutumia machapisho kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Tumia Vialamisho, au, Alama za Kukumbuka Ukurasa—iOS

Jifunze jinsi ya kutumia alama za kukumbuka ukurasa kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Tumia Historia​—iOS

Jifunze jinsi ya kutumia sehemu ya historia kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Panga Habari Kulingana na Mapendezi Yako​—iOS

Jifunze jinsi ya kupanga habari kulingana na mapendezi yako kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Tafuta Katika Biblia au Chapisho—iOS

Jifunze jinsi ya kutafuta neno au kifungu cha meneno katika Biblia au chapisho, na kutafuta habari hususa kwenye Insight on the Scriptures kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Tia Alama Maandishi​—iOS

Jifunze jinsi ya kutia alama maandishi kwenye JW Library katika vifaa vya iOS.

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Library (iOS)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.