Kulingana na Luka 9:1-62
-
Wale Kumi na Mbili wanapewa maagizo juu ya utumishi (1-6)
-
Herode anavurugika juu ya Yesu (7-9)
-
Yesu anakulisha wanaume elfu tano (10-17)
-
Petro anatambua Kristo (18-20)
-
Kifo cha Yesu kinatabiriwa (21, 22)
-
Mambo ya kufanya ili kuwa mwanafunzi wa kweli (23-27)
-
Yesu anageuzwa sura (28-36)
-
Kijana mwanaume mwenye pepo muchafu anaponyeshwa (37-43a)
-
Kifo cha Yesu kinatabiriwa tena (43b-45)
-
Wanafunzi wanabishana juu ya ukubwa (46-48)
-
Kila mutu mwenye hatupinge iko upande wetu (49, 50)
-
Yesu anakataliwa katika kijiji kimoja cha Wasamaria (51-56)
-
Namna ya kumufuata Yesu (57-62)