B12-A
Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Katika Dunia (Sehemu ya 1)
Yerusalemu na Eneo la Pembeni-pembeni
-
Hekalu
-
Bustani ya Getsemane (?)
-
Nyumba ya Gavana
-
Nyumba ya Kayafa (?)
-
Nyumba Kwenye Herode Antipa Alikuwa Anafikia (?)
-
Kiziwa cha Maji cha Betzata
-
Kiziwa cha Maji cha Siloamu
-
Jumba la Sanhedrini (?)
-
Golgota (?)
-
Akeldama (?)
Uende ku siku ya: Nisani 8 | Nisani 9 | Nisani 10 | Nisani 11
Nisani 8 (Sabato)
KUSHUKA KWA JUA (Siku za Wayahudi zinaanza na kumalizika wakati jua linashuka)
-
Anafika Betania siku sita (6) mbele ya Pasaka
KUTOKEA KWA JUA
KUSHUKA KWA JUA
Nisani 9
KUSHUKA KWA JUA
-
Anakula pamoja na Simoni mwenye ukoma
-
Maria anamupakaa Yesu mafuta ya nardo
-
Wayahudi wanakuja kumuona Yesu na Lazaro
KUTOKEA KWA JUA
-
Anaingia Yerusalemu kwa vigelegele
-
Anafundisha katika hekalu
KUSHUKA KWA JUA
Nisani 10
KUSHUKA KWA JUA
-
Analala Betania
KUTOKEA KWA JUA
-
Anaenda Yerusalemu asubui sana
-
Anasafisha hekalu
-
Yehova anasema akiwa mbinguni
KUSHUKA KWA JUA
Nisani 11
KUSHUKA KWA JUA
KUTOKEA KWA JUA
-
Anafundisha katika hekalu, kwa kutumia mifano
-
Analaumu Wafarisayo
-
Anaangalia muchango wa mujane
-
Akiwa kwenye Mulima wa Mizeituni, anatabiri kuanguka kwa Yerusalemu na anatoa alama ya kuwapo kwake wakati wenye kuja