Ona video zinazopatikana

Ona habari zilizo ndani

B5

Tabenakulo na Kuhani Mukubwa

Sehemu za Tabenakulo

 1. 1 Sanduku (Kut 25:10-​22; 26:33)

 2. 2 Pazia (Kut 26:31-33)

 3. 3 Nguzo ya Pazia (Kut 26:31, 32)

 4. 4 Patakatifu (Kut 26:33)

 5. 5 Patakatifu Zaidi (Kut 26:33)

 6. 6 Kitambaa cha Kuficha (Kut 26:36)

 7. 7 Nguzo kwa Ajili ya Kitambaa cha Kuficha (Kut 26:37)

 8. 8 Kikalio cha Shaba (Kut 26:37)

 9. 9 Mazabahu ya Uvumba (Kut 30:1-6)

 10. 10 Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kut 25:23-30; 26:35)

 11. 11 Kinara cha Taa (Kut 25:31-40; 26:35)

 12. 12 Kitambaa cha Hema cha Kitani (Kut 26:1-6)

 13. 13 Kitambaa cha Hema cha Manyoya ya Mbuzi (Kut 26:7-13)

 14. 14 Kifuniko cha Ngozi za Kondoo-dume (Kut 26:14)

 15. 15 Kifuniko cha Ngozi za Sili (Kut 26:14)

 16. 16 Kadre ya Mbao (Kut 26:15-18, 29)

 17. 17 Kikalio cha Feza Chini ya Kadre ya Mbao (Kut 26:19-21)

 18. 18 Ufito (Barre) (Kut 26:26-29)

 19. 19 Kikalio cha Feza (Kut 26:32)

 20. 20 Beseni ya Shaba (Kut 30:18-21)

 21. 21 Mazabahu ya Toleo la Kuteketezwa (Kut 27:1-8)

 22. 22 Kiwanja (Kut 27:17, 18)

 23. 23 Muingilio (Kut 27:16)

 24. 24 Mapazia Yenye Kuninginia ya Kitani (Kut 27:9-15)

Kuhani Mukubwa

Kutoka sura ya 28 inaeleza kwa urefu kuhusu nguo za kuhani mukubwa wa Israeli