Ona video zinazopatikana

Ona habari zilizo ndani

B12-B

Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Katika Dunia (Sehemu ya 2)

Yerusalemu na Eneo la Pembeni-pembeni

  1. Hekalu

  2.   Bustani ya Getsemane (?)

  3.    Nyumba ya Gavana

  4.   Nyumba ya Kayafa (?)

  5.   Nyumba Kwenye Herode Antipa Alikuwa Anafikia (?)

  6. Kiziwa cha Maji cha Betzata

  7. Kiziwa cha Maji cha Siloamu

  8.   Jumba la Sanhedrini (?)

  9.   Golgota (?)

  10. Akeldama (?)

     Uende ku siku ya:  Nisani 12 |  Nisani 13 |  Nisani |  Nisani 15 |  Nisani 16

 Nisani 12

KUSHUKA KWA JUA (Siku za Wayahudi zinaanza na kumalizika wakati jua linashuka)

KUTOKEA KWA JUA

  • Anapitisha siku yenye utulivu pamoja na wanafunzi wake

  • Yuda anafanya mupango wa kumusaliti

KUSHUKA KWA JUA

 Nisani 13

KUSHUKA KWA JUA

KUTOKEA KWA JUA

  • Petro na Yohana wanatayarisha Pasaka

  • Yesu na mitume wengine wanafika mangaribi

KUSHUKA KWA JUA

 Nisani 14

KUSHUKA KWA JUA

  • Anakula Pasaka pamoja na mitume

  • Ananawisha miguu ya mitume

  • Anamufukuza Yuda

  • Anaanzisha Chakula cha Mangaribi cha Bwana

  • Anasalitiwa na kukamatwa katika bustani ya Getsemane ( 2)

  • Mitume wanakimbia

  • Anahukumiwa na Sanhedrini kwenye nyumba ya Kayafa ( 4)

  • Petro anamukana Yesu

KUTOKEA KWA JUA

  • Anasimama tena mbele ya Sanhedrini ( 8)

  • Anapelekwa kwa Pilato ( 3), kisha kwa Herode ( 5), kisha anarudishwa kwa Pilato ( 3)

  • Anahukumiwa kifo na anatundikwa kule Golgota ( 9)

  • Anakufa karibu saa kenda kisha muchana-kati

  • Mwili wake unaondolewa kwenye muti na kuzikwa

KUSHUKA KWA JUA

 Nisani 15 (Sabato)

KUSHUKA KWA JUA

KUTOKEA KWA JUA

  • Pilato anakubali walinzi wawekwe kwenye kaburi la Yesu

KUSHUKA KWA JUA

 Nisani 16

KUSHUKA KWA JUA

  • Manukato mengine ya ­kutayarisha mwili kwa ajili ya maziko yanauzwa

KUTOKEA KWA JUA

  • Anafufuka

  • Anatokea wanafunzi

KUSHUKA KWA JUA