Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Hesabu

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Wanaume waandikishwa jeshini (1-46)

  • Walawi hawakuandikishwa jeshini (47-51)

  • Kambi yapangwa kwa utaratibu (52-54)

 • 2

  • Kambi yapangwa katika makundi ya makabila matatu-matatu (1-34)

   • Kundi la Yuda upande wa mashariki (3-9)

   • Kundi la Rubeni upande wa kusini (10-16)

   • Kambi ya Lawi yawekwa katikati (17)

   • Kundi la Efraimu upande wa magharibi (18-24)

   • Kundi la Dani upande wa kaskazini (25-31)

   • Jumla ya wanaume walioandikishwa (32-34)

 • 3

  • Wana wa Haruni (1-4)

  • Walawi wachaguliwa ili kuhudumu (5-39)

  • Kukombolewa kwa wazaliwa wa kwanza (40-51)

 • 4

  • Utumishi wa Wakohathi (1-20)

  • Utumishi wa Wagershoni (21-28)

  • Utumishi wa Wamerari (29-33)

  • Muhtasari kuhusu idadi ya watu waliohesabiwa (34-49)

 • 5

  • Kuwatenga watu wasio safi (1-4)

  • Kuungama na kulipia kosa (5-10)

  • Maji yatumiwa kuthibitisha ikiwa mtu alifanya uzinzi (11-31)

 • 6

  • Nadhiri ya Unadhiri (1-21)

  • Baraka ya makuhani (22-27)

 • 7

  • Matoleo ya kuzindua hema la ibada (1-89)

 • 8

  • Haruni awasha taa saba (1-4)

  • Walawi watakaswa na kuanza utumishi wao (5-22)

  • Mipaka ya umri kwa ajili ya utumishi wa Walawi (23-26)

 • 9

  • Mpango wa kuadhimisha Pasaka baadaye (1-14)

  • Wingu na moto juu ya hema la ibada (15-23)

 • 10

  • Tarumbeta za fedha (1-10)

  • Kuondoka Sinai (11-13)

  • Utaratibu wa kuondoka (14-28)

  • Hobabu aombwa awaongoze Waisraeli (29-34)

  • Sala aliyotoa Musa walipokuwa wakianza safari (35, 36)

 • 11

  • Mungu aleta moto kwa sababu ya malalamiko (1-3)

  • Watu walilia nyama (4-9)

  • Musa ahisi hastahili (10-15)

  • Yehova awapa roho wazee 70 (16-25)

  • Eldadi na Medadi; Yoshua aona wivu kwa ajili ya Musa (26-30)

  • Kware waletwa; watu waadhibiwa kwa sababu ya pupa (31-35)

 • 12

  • Miriamu na Haruni wampinga Musa (1-3)

   • Musa mtu mpole zaidi kuliko watu wote (3)

  • Yehova amtetea Musa (4-8)

  • Miriamu apigwa na ukoma (9-16)

 • 13

  • Wapelelezi 12 watumwa Kanaani (1-24)

  • Wapelelezi kumi waleta habari mbaya (25-33)

 • 14

  • Watu wataka kurudi Misri (1-10)

   • Yoshua na Kalebu waleta habari nzuri (6-9)

  • Yehova akasirika; Musa aingilia kati (11-19)

  • Adhabu: miaka 40 nyikani (20-38)

  • Waisraeli washindwa na Waamaleki (39-45)

 • 15

  • Sheria kuhusu dhabihu (1-21)

   • Sheria zilezile kwa wenyeji na wageni (15, 16)

  • Dhabihu kwa ajili ya dhambi zilizofanywa bila kukusudia (22-29)

  • Adhabu kwa ajili ya dhambi zilizofanywa kimakusudi (30, 31)

  • Aliyevunja Sabato auawa (32-36)

  • Mavazi yawe na upindo wa nyuzinyuzi (37-41)

 • 16

  • Uasi wa Kora, Dathani, na Abiramu (1-19)

  • Waasi wahukumiwa (20-50)

 • 17

  • Fimbo ya Haruni iliyochanua maua yatumika kuwa onyo (1-13)

 • 18

  • Majukumu ya makuhani na Walawi (1-7)

  • Posho za makuhani (8-19)

   • Agano la chumvi (19)

  • Walawi watapokea na kutoa sehemu moja ya kumi (20-32)

 • 19

  • Ng’ombe mwekundu na maji ya kutakasa (1-22)

 • 20

  • Miriamu afa kule Kadeshi (1)

  • Musa aupiga mwamba na hivyo kutenda dhambi (2-13)

  • Waedomu wawazuia Waisraeli kupita (14-21)

  • Kifo cha Haruni (22-29)

 • 21

  • Mfalme wa Aradi ashindwa (1-3)

  • Nyoka wa shaba (4-9)

  • Waisraeli wazunguka Moabu (10-20)

  • Mfalme Sihoni wa Waamori ashindwa (21-30)

  • Mfalme Ogu wa Waamori ashindwa (31-35)

 • 22

  • Balaki amkodi Balaamu (1-21)

  • Punda wa Balaamu aongea (22-41)

 • 23

  • Maneno ya kwanza ya kishairi ya Balaamu (1-12)

  • Maneno ya pili ya kishairi ya Balaamu (13-30)

 • 24

  • Maneno ya tatu ya kishairi ya Balaamu (1-11)

  • Maneno ya nne ya kishairi ya Balaamu (12-25)

 • 25

  • Waisraeli watenda dhambi na wanawake Wamoabu (1-5)

  • Finehasi achukua hatua (6-18)

 • 26

  • Makabila ya Waisraeli yahesabiwa mara ya pili (1-65)

 • 27

  • Mabinti wa Selofehadi (1-11)

  • Yoshua achaguliwa ili achukue mahali pa Musa (12-23)

 • 28

  • Taratibu za kutoa dhabihu mbalimbali (1-31)

   • Dhabihu ya kila siku (1-8)

   • Kwa ajili ya Sabato (9, 10)

   • Dhabihu ya kila mwezi (11-15)

   • Kwa ajili ya Pasaka (16-25)

   • Kwa ajili ya Sherehe ya Majuma (26-31)

 • 29

  • Taratibu za kutoa dhabihu mbalimbali (1-40)

   • Siku ya kupiga tarumbeta (1-6)

   • Siku ya Kufunika Dhambi (7-11)

   • Sherehe ya Vibanda (12-38)

 • 30

  • Nadhiri za wanaume (1, 2)

  • Nadhiri za wanawake na mabinti (3-16)

 • 31

  • Wamidiani walipizwa kisasi (1-12)

   • Balaamu auawa (8)

  • Maagizo kuhusu nyara za vita (13-54)

 • 32

  • Waliobaki upande wa mashariki wa Yordani (1-42)

 • 33

  • Vituo vya safari ya Waisraeli nyikani (1-49)

  • Maagizo ya kuteka nchi ya Kanaani (50-56)

 • 34

  • Mipaka ya Kanaani (1-15)

  • Wanaume wapewa kazi ya kuigawanya nchi (16-29)

 • 35

  • Majiji ya Walawi (1-8)

  • Majiji ya makimbilio (9-34)

 • 36

  • Sheria kuhusu kuwaoa warithi wa kike (1-13)