Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

A7-E

Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 3) na Huko Yudea

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

32, baada ya Pasaka

Bahari ya Galilaya; Bethsaida

Akiwa mashuani kuelekea Bethsaida, Yesu aonya kuhusu chachu ya Mafarisayo; amponya mwanamume kipofu

16:5-12

8:13-26

   

Eneo la Kaisaria Filipi

Funguo za Ufalme; atabiri kifo na ufufuo wake

16:13-28

8:27–9:1

9:18-27

 

Inaelekea ni Ml. Hermoni

Kugeuka-sura; Yehova azungumza

17:1-13

9:2-13

9:28-36

 

Eneo la Kaisaria Filipi

Amponya mvulana aliyekuwa na roho mwovu

17:14-20

9:14-29

9:37-43

 

Galilaya

Atabiri tena kuhusu kifo chake

17:22, 23

9:30-32

9:43-45

 

Kapernaumu

Alipa kodi kwa sarafu aliyoitoa kwenye kinywa cha samaki

17:24-27

     

Mkuu katika Ufalme; mifano; kondoo aliyepotea na mtumwa asiyesamehe

18:1-35

9:33-50

9:46-50

 

Galilaya-Samaria

Wakielekea Yerusalemu, awaambia wanafunzi wake wadhabihu mambo yote kwa ajili ya Ufalme

8:19-22

 

9:51-62

7:2-10

Huduma ya Yesu ya Baadaye Huko Yudea

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

32, Sherehe ya Vibanda

Yerusalemu

Afundisha kwenye sherehe; maofisa watumwa ili kumkamata

     

7:11-52

Asema “Mimi ndiye nuru ya ulimwengu”; amponya mtu aliyezaliwa kipofu

     

8:12–9:41

Inaeleke ni Yudea

Awatuma wale 70; warudi wakishangilia

   

10:1-24

 

Yudea; Bethania

Mfano wa Msamaria mwema; awatembelea Maria na Martha nyumbani

   

10:25-42

 

Inaelekea ni Yudea

Afundisha tena ile sala ya kielelezo; mfano wa rafiki aliyeendelea kuomba

   

11:1-13

 

Afukuza roho waovu kwa kutumia nguvu za Mungu; atoa tena ishara ya Yona

   

11:14-36

 

Ala pamoja na Farisayo; ashutumu unafiki wa Mafarisayo

   

11:37-54

 

Mifano: tajiri asiye na akili na msimamizi nyumba mwaminifu

   

12:1-59

 

Amponya mwanamke kilema siku ya Sabato; mifano ya mbegu ya haradali na chachu

   

13:1-21

 

32, Sherehe ya Wakfu

Yerusalemu

Mchungaji mwema na zizi la kondoo; Wayahudi wajaribu kumpiga mawe; avuka Yordani aenda Bethania

     

10:1-39