Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

A7-H

Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma ya Mwisho ya Yesu Kule Yerusalemu (Sehemu ya 2)

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

Nisani 14

Yerusalemu

Yesu amtaja Yuda kuwa msaliti kisha amfukuza

26:21-25

14:18-21

22:21-23

13:21-30

Aanzisha Mlo wa Jioni wa Bwana (1Ko 11:23-25)

26:26-29

14:22-25

22:19, 20, 24-30

 

Atabiri Petro atamkana na mitume watatawanyika

26:31-35

14:27-31

22:31-38

13:31-38

Aahidi kumtuma msaidizi; mfano wa mzabibu wa kweli; atoa amri ya kupendana; sala ya mwisho pamoja na mitume wake

     

14:1–17:26

Gethsemane

Maumivu makali kwenye bustani; Yesu asalitiwa na kukamtwa

26:30, 36-56

14:26, 32-52

22:39-53

18:1-12

Yerusalemu

Ahojiwa na Anasi; ahojiwa na Kayafa, Sanhedrini; Petro amkana

26:57–27:1

14:53–15:1

22:54-71

18:13-27

Yuda msaliti ajinyonga (Mdo 1:18, 19)

27:3-10

     

Mbele ya Pilato, kisha Herode, na kurudi kwa Pilato

27:2, 11-14

15:1-5

23:1-12

18:28-38

Pilato ataka kumwachilia lakini Wayahudi wasema wanamtaka Baraba; ahukumiwa kuuawa kwenye mti wa mateso

27:15-30

15:6-19

23:13-25

18:39–19:16

(Karibu saa 9:00 alasiri Ijumaa)

Golgotha

Afa kwenye mti wa mateso

27:31-56

15:20-41

23:26-49

19:16-30

Yerusalemu

Mwili wake watolewa mtini na kuwekwa kaburini

27:57-61

15:42-47

23:50-56

19:31-42

Nisan 15

Yerusalemu

Makuhani na Mafarisayo waweka walinzi kulilinda kaburi na kulitia muhuri

27:62-66

     

Nisani 16

Yerusalemu na maeneo ya karibu; Emau

Yesu afufuliwa; awatokea wanafunzi mara tano

28:1-15

16:1-8

24:1-49

20:1-25

Baada ya Nisani 16

Yerusalemu; Galilaya

Awatokea wanafunzi wake tena na tena (1Ko 15:5-7; Mdo 1:3-8); awafundisha; awatuma kufanya wanafunzi

28:16-20

   

20:26–21:25

Iyari 25

Mlima wa Mizeituni, karibu na Bethania

Yesu apaa mbinguni, siku 40 baada ya kufufuliwa (Mdo 1:9-12)

   

24:50-53