B12-A
Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)
Nisani 8 (Sabato)
MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)
Awasili Bethania siku sita kabla ya Pasaka
MAPAMBAZUKO
MACHWEO
Nisani 9
MACHWEO
Ala mlo na Simoni mwenye ukoma
Maria ampaka Yesu mafuata ya nardo
Wayahudi waja kumwona Yesu na Lazaro
MAPAMBAZUKO
Yesu aingia Yerusalemu kwa shangwe
Afundisha hekaluni
MACHWEO
Nisani 10
MACHWEO
Alala Bethania
MAPAMBAZUKO
Aenda Yerusalemu mapema
Asafisha hekalu
Yehova azungumza kutoka mbinguni
MACHWEO
Nisani 11
MACHWEO
MAPAMBAZUKO
Afundisha hekaluni, akitumia mifano
Awashutumu Mafarisayo
Asifu mchango wa mjane
Kwenye Mlima wa Mizeituni, atabiri kuanguka kwa Yerusalemu na kutoa ishara ya kuwapo kwake wakati ujao
MACHWEO