B14-B
Pesa na Uzito
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kiebrania
Gera (1⁄20 ya shekeli)
gramu 0.57
gera 10 = beka 1
Beka
gramu 5.7
beka 2 = shekeli 1
Pimu
gramu 7.8
pimu 1 = 2⁄3 ya shekeli
Uzito wa Shekeli
Shekeli
gramu 11.4
shekeli 50 = mina 1
Mina
gramu 570
mina 60 = talanta 1
Talanta
kilogramu 34.2
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
Tetradrakma ya Antiokia
Tetradrakma ya Tiro (Shekeli ya fedha ya Tiro)
Tetradrakma
(ya Ugiriki, fedha; pia iliitwa stateri ya fedha)
drakma 4
gramu 13.6
= Mshahara wa Siku 4
Pauni au Ratili (ya Kiroma)
gramu 327
“Ratili moja ya mafuta yenye marashi, nardo halisi”

