Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

SWALI LA 4

Je, Biblia Ni Sahihi Kisayansi?

“Hulitandaza anga la kaskazini mahali pasipo na kitu, na kuining’iniza dunia mahali pasipo na kitu.”

Ayubu 26:7

“Vijito vyote hutiririka kuingia baharini, lakini bado bahari haijai. Mahali vijito vinakotoka, huko ndiko vinakorudi ili vitiririke tena.”

Mhubiri 1:7

“Kuna Yule anayekaa juu ya duara ya dunia.”

Isaya 40:⁠22