A7-D
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 2)
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
31 au 32 |
Eneo la Kapernaumu |
Yesu asimulia mifano kuhusu Ufalme |
||||
Bahari ya Galilaya |
Atuliza bahari akiwa ndani ya mashua |
|||||
Eneo la Gadara |
Awatuma roho waovu ndani ya nguruwe |
|||||
Huenda ni Kapernaumu |
Amponya mwanamke mwenye mtiririko wa damu; amfufua binti ya Yairo |
|||||
Kapernaumu (?) |
Awaponya vipofu na mabubu |
|||||
Nazareti |
Akataliwa tena katika mji wa nyumbani kwao |
|||||
Galilaya |
Safari ya tatu kwenda Galilaya; apanua kazi kwa kuwatuma mitume |
|||||
Tiberia |
Herode amkata kichwa Yohana Mbatizaji; Herode ashangazwa na Yesu |
|||||
32, karibu na Pasaka (Joh 6:4) |
Kapernaumu (?); Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya |
Mitme warudi kutoka safari ya kuhubiri; Yesu alisha wanaume 5,000 |
||||
Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya; Genesareti |
Wajaribu kumfanya Yesu mfalme; atembea juu ya bahari; aponya wengi |
|||||
Kapernaumu |
Asema yeye ndiye “mkate wa uzima”; wengi wakwazika na kumwacha |
|||||
32, baada ya Pasaka |
Labda Kapernaumu |
Afunua mapokeo ya wanadamu |
||||
Foinike; Dekapoli |
Amponya binti ya mwanamke Msirofoinike; alisha wanaume 4,000 |
|||||
Magadani |
Akataa kutoa ishara ila ya Yona |