Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B14-A

Biashara

 • Vipimo vya Vitu vya Majimaji

 • Kori (bathi 10/ hini 60)

  lita 220 / galoni 58.1;

 • Bathi (hini 6)

  lita 22 / galoni 5.81

 • Hini (logi 12)

  lita 3.67/ painti 7.75

 • Logi (1 ⁄ 12 ya hini)

  lita 0.31 / painti 0.66

 • Vipimo vya Vitu Vikavu

 • Homeri (kori 1 / efa 10)

  lita 220 / vibaba 200

 • Efa (sea 3 / omeri 10)

  lita 22 / vibaba 20

 • Sea (omeri 31 ⁄ 3)

  lita 7.33 / vibaba 6.66

 • Omeri (kabi 14 ⁄ 5)

  lita 2.2 / vibaba 2

 • Kabi

  lita 1.22 / vibaba 1.11

 • Kibaba

  lita 1.08 / vibaba 0.98

 • Vipimo vya Urefu

 • Utete mrefu (mikono 6 mirefu)

  mita 3.11 / futi 10.2

 • Utete (mikono 6)

  mita 2.67 / futi 8.75

 • Pima

  mita 1.8 / futi 6

 • Mkono mrefu (viganja 7)

  sentimita 51.8 / inchi 20.4

 • Mkono (shubiri 2 / viganja 6)

  sentimita 44.5 / inchi 17.5

 • Mkono mfupi

  sentimita 38 / inchi 15

 • Stadiamu 1 ya Kiroma

  1 ⁄ 8 ya maili ya Kiroma =mita 185 /futi 606.95

 1. 1 Upana wa kidole (1 ⁄ 4 ya kiganja)

  sentimita 1.85 / inchi 0.73

 2. 2 Upana wa kiganja (upana wa vidole 4)

  sentimita 7.4 / inchi 2.9

 3. 3 Shubiri (viganja 3)

  sentimita 22.2 / inchi 8.75