Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B9

Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli

Babiloni

Danieli 2:32, 36-38; 7:4

607 K.W.K. Mfalme Nebukadneza aharibu Yerusalemu

Umedi na Uajemi

Danieli 2:32, 39; 7:5

539 K.W.K. Yashinda Babiloni

537 K.W.K. Koreshi aagiza Wayahudi warudi Yerusalemu

Ugiriki

Danieli 2:32, 39; 7:6

331 K.W.K. Aleksanda Mkuu ashinda Uajemi

Roma

Danieli 2:33, 40; 7:7

63 K.W.K. Yatawala Israeli

70 W.K. Yaharibu Yerusalemu

Uingereza na Marekani

Danieli 2:33, 41-43

1914-1918 W.K. Vita vya Kwanza vya Ulimwengu, Muungano wa Uingereza na Marekani watokea