Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Waamuzi

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Ushindi wa kabila la Yuda na la Simeoni (1-20)

  • Wayebusi waendelea kuishi Yerusalemu (21)

  • Yosefu achukua Betheli (22-26)

  • Wakanaani hawakufukuzwa wote (27-36)

 • 2

  • Onyo kutoka kwa malaika wa Yehova (1-5)

  • Kifo cha Yoshua (6-10)

  • Mungu atuma waamuzi kuwaokoa Waisraeli (11-23)

 • 3

  • Yehova awajaribu Waisraeli (1-6)

  • Othnieli, mwamuzi wa kwanza (7-11)

  • Mwamuzi Ehudi amuua Mfalme Egloni aliyekuwa mnene (12-30)

  • Mwamuzi Shamgari (31)

 • 4

  • Mfalme Yabini wa Kanaani awakandamiza Waisraeli (1-3)

  • Nabii wa kike Debora na Mwamuzi Baraka (4-16)

  • Yaeli amuua Sisera mkuu wa jeshi (17-24)

 • 5

  • Wimbo wa ushindi wa Debora na Baraka (1-31)

   • Nyota zapigana na Sisera (20)

   • Mafuriko ya Mto Kishoni (21)

   • Wanaompenda Yehova wako kama jua (31)

 • 6

  • Wamidiani wawakandamiza Waisraeli (1-10)

  • Malaika amhakikishia Mwamuzi Gideoni atapata msaada (11-24)

  • Gideoni abomoa madhabahu ya Baali (25-32)

  • Roho ya Mungu yamtia nguvu Gideoni (33-35)

  • Jaribio la manyoya (36-40)

 • 7

  • Gideoni na wanaume 300 (1-8)

  • Jeshi la Gideoni lawashinda Wamidiani (9-25)

   • “Upanga wa Yehova na wa Gideoni!” (20)

   • Kambi ya Wamidiani yachanganyikiwa (21, 22)

 • 8

  • Waefraimu wamlalamikia Gideoni (1-3)

  • Wafalme Wamidiani wafuatiliwa na kuuawa (4-21)

  • Gideoni akataa kuwa mfalme (22-27)

  • Historia fupi ya maisha ya Gideoni (28-35)

 • 9

  • Abimeleki awa mfalme kule Shekemu (1-6)

  • Fumbo la Yothamu (7-21)

  • Utawala wa kikatili wa Abimeleki (22-33)

  • Abimeleki ashambulia Shekemu (34-49)

  • Mwanamke amjeruhi Abimeleki; Abimeleki afa (50-57)

 • 10

  • Waamuzi Tola na Yairi (1-5)

  • Waisraeli waasi na kutubu (6-16)

  • Waamoni wataka kuwashambulia Waisraeli (17, 18)

 • 11

  • Mwamuzi Yeftha afukuzwa, baadaye afanywa kuwa kiongozi (1-11)

  • Yeftha azungumza na Waamoni (12-28)

  • Nadhiri ya Yeftha na binti yake (29-40)

   • Maisha ya useja ya binti yake (38-40)

 • 12

  • Apigana na Waefraimu (1-7)

   • Jaribio la kutamka Shibolethi (6)

  • Waamuzi Ibzani, Eloni, na Abdoni (8-15)

 • 13

  • Malaika amtembelea Manoa na mke wake (1-23)

  • Samsoni azaliwa (24, 25)

 • 14

  • Mwamuzi Samsoni atafuta mke Mfilisti (1-4)

  • Roho ya Yehova yamwezesha Samsoni kumuua simba (5-9)

  • Samsoni atega kitendawili kwenye harusi (10-19)

  • Mwanamume mwingine apewa mke wa Samsoni (20)

 • 15

  • Samsoni alipiza kisasi dhidi ya Wafilisti (1-20)

 • 16

  • Samsoni akiwa Gaza (1-3)

  • Samsoni na Delila (4-22)

  • Samsoni alipiza kisasi na kufa (23-31)

 • 17

  • Sanamu za Mika na kuhani wake (1-13)

 • 18

  • Watu wa kabila la Dani watafuta nchi (1-31)

   • Kuchukuliwa kwa sanamu za Mika na kuhani wake (14-20)

   • Jiji la Laishi lachukuliwa na kuitwa Dani (27-29)

   • Ibada ya sanamu katika jiji la Dani (30, 31)

 • 19

  • Wabenjamini wabaka katika jiji la Gibea (1-30)

 • 20

  • Wabenjamini washambuliwa (1-48)

 • 21

  • Kabila la Wabenjamini laokolewa (1-25)