Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Yona

Sura

1 2 3 4

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Yona ajaribu kumkimbia Yehova (1-3)

  • Yehova aleta dhoruba kali (4-6)

  • Yona ndiye chanzo cha taabu (7-13)

  • Yona atupwa ndani ya bahari iliyochafuka (14-16)

  • Samaki mkubwa ammeza Yona (17)

 • 2

  • Yona asali akiwa ndani ya tumbo la samaki (1-9)

  • Yona atapikwa kwenye nchi kavu (10)

 • 3

  • Yona amtii Mungu na kwenda Ninawi (1-4)

  • Waninawi watubu baada ya kusikia ujumbe wa Yona (5-9)

  • Mungu aamua kutoangamiza Ninawi (10)

 • 4

  • Yona akasirika, atamani kufa (1-3)

  • Yehova amfundisha Yona kuhusu rehema (4-11)

   • “Je, una sababu nzuri ya kuwaka hasira?” (4)

   • Somo la mmung’unye (6-10)