Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Kwanza cha Samweli

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Elkana na wake zake (1-8)

  • Hana ambaye hakuwa na mtoto asali apate mwana (9-18)

  • Samweli azaliwa na kukabidhiwa kwa Yehova (19-28)

 • 2

  • Sala ya Hana (1-11)

  • Dhambi za wana wawili wa Eli (12-26)

  • Yehova aihukumu nyumba ya Eli (27-36)

 • 3

  • Samweli aitwa awe nabii (1-21)

 • 4

  • Wafilisti wateka sanduku la agano (1-11)

  • Eli na wanawe wafa (12-22)

 • 5

  • Sanduku la agano katika eneo la Wafilisti (1-12)

   • Dagoni aaibishwa (1-5)

   • Wafilisti waletewa pigo (6-12)

 • 6

  • Wafilisti warudisha sanduku la agano Israeli (1-21)

 • 7

  • Sanduku la agano laletwa Kiriath-yearimu (1)

  • Samweli ahimiza hivi: ‘Mtumikieni Yehova peke yake’ (2-6)

  • Ushindi wa Waisraeli kule Mispa (7-14)

  • Samweli awa mwamuzi wa Israeli (15-17)

 • 8

  • Waisraeli wataka mfalme (1-9)

  • Samweli awaonya watu (10-18)

  • Yehova akubali ombi la kutaka mfalme (19-22)

 • 9

  • Samweli akutana na Sauli (1-27)

 • 10

  • Sauli atiwa mafuta kuwa mfalme (1-16)

  • Sauli atangazwa kuwa mfalme mbele ya watu (17-27)

 • 11

  • Sauli awashinda Waamoni (1-11)

  • Sauli atangazwa tena kuwa mfalme (12-15)

 • 12

  • Hotuba ya mwisho ya Samweli (1-25)

   • ‘Msifuate vitu vya ubatili’ (21)

   • Yehova hatawaacha watu wake (22)

 • 13

  • Sauli achagua jeshi (1-4)

  • Sauli atenda kwa kimbelembele (5-9)

  • Samweli amkaripia Sauli (10-14)

  • Waisraeli hawakuwa na silaha (15-23)

 • 14

  • Yonathani aenda kupigana kule Mikmashi (1-14)

  • Mungu awashinda maadui wa Waisraeli (15-23)

  • Sauli afanya kiapo bila kufikiria (24-46)

   • Watu wala nyama pamoja na damu (32-34)

  • Vita vya Sauli; familia yake (47-52)

 • 15

  • Sauli akosa kutii kwa kumwacha hai Agagi (1-9)

  • Samweli amkaripia Sauli (10-23)

   • “Kutii ni bora kuliko dhabihu” (22)

  • Sauli akataliwa asiendelee kuwa mfalme (24-29)

  • Samweli amuua Agagi (30-35)

 • 16

  • Samweli amtia mafuta Daudi kuwa mfalme anayefuata (1-13)

   • “Yehova huona ndani ya moyo” (7)

  • Sauli anyang’anywa roho ya Mungu (14-17)

  • Daudi awa mpiga kinubi wa Sauli (18-23)

 • 17

  • Daudi amshinda Goliathi (1-58)

   • Goliathi awatukana Waisraeli (8-10)

   • Daudi akubali kupigana na Goliathi (32-37)

   • Daudi apigana kwa jina la Yehova (45-47)

 • 18

  • Urafiki wa Daudi na Yonathani (1-4)

  • Sauli ashikwa na wivu kwa sababu ya ushindi wa Daudi (5-9)

  • Sauli ajaribu kumuua Daudi (10-19)

  • Daudi amwoa Mikali binti ya Sauli (20-30)

 • 19

  • Sauli aendelea kumchukia Daudi (1-13)

  • Daudi amkimbia Sauli (14-24)

 • 20

  • Yonathani awa mshikamanifu kwa Daudi (1-42)

 • 21

  • Daudi ala mikate ya wonyesho kule Nobu (1-9)

  • Daudi ajifanya mwenda wazimu kule Gathi (10-15)

 • 22

  • Daudi akiwa Adulamu na Mispe (1-5)

  • Sauli aagiza makuhani wa Nobu wauawe (6-19)

  • Abiathari atoroka (20-23)

 • 23

  • Daudi aliokoa jiji la Keila (1-12)

  • Sauli amfuatia Daudi (13-15)

  • Yonathani amtia nguvu Daudi (16-18)

  • Daudi anusurika kukamatwa na Sauli (19-29)

 • 24

  • Daudi amwacha hai Sauli (1-22)

   • Daudi amheshimu mtiwa-mafuta wa Yehova (6)

 • 25

  • Kifo cha Samweli (1)

  • Nabali awafukuza wanaume wa Daudi (2-13)

  • Abigaili atenda kwa hekima (14-35)

   • ‘Yehova ataufungia uhai katika mfuko wa uzima’ (29)

  • Yehova amuua Nabali aliyekuwa mpumbavu (36-38)

  • Abigaili awa mke wa Daudi (39-44)

 • 26

  • Daudi amwacha hai tena Sauli (1-25)

   • Daudi amheshimu mtiwa-mafuta wa Yehova (11)

 • 27

  • Wafilisti wampa Daudi Siklagi (1-12)

 • 28

  • Sauli amtembelea mtu anayewasiliana na roho waovu kule En-dori (1-25)

 • 29

  • Wafilisti hawamwamini Daudi (1-11)

 • 30

  • Waamaleki wavamia na kuchoma moto Siklagi (1-6)

   • Daudi apata nguvu kutoka kwa Mungu (6)

  • Daudi awashinda Waamaleki (7-31)

   • Watu waliotekwa wachukuliwa na Daudi (18, 19)

   • Sheria ya Daudi kuhusu nyara (23, 24)

 • 31

  • Kifo cha Sauli na wanawe watatu (1-13)