Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Nehemia

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Habari kutoka Yerusalemu (1-3)

  • Sala ya Nehemia (4-11)

 • 2

  • Nehemia aruhusiwa kwenda Yerusalemu (1-10)

  • Nehemia akagua kuta za jiji (11-20)

 • 3

  • Kuta zajengwa upya (1-32)

 • 4

  • Kazi yaendelea licha ya upinzani (1-14)

  • Ujenzi waendelea wajenzi wakiwa na silaha (15-23)

 • 5

  • Nehemia akomesha ukandamizaji (1-13)

  • Nehemia hakutenda kwa ubinafsi (14-19)

 • 6

  • Kazi ya kujenga upya yaendelea kupingwa (1-14)

  • Ukuta wakamilika baada ya siku 52 (15-19)

 • 7

  • Malango ya jiji na walinzi wa malango (1-4)

  • Orodha ya watu waliorudi kutoka uhamishoni (5-69)

   • Watumishi wa hekaluni (46-56)

   • Wana wa watumishi wa Sulemani (57-60)

  • Michango kwa ajili ya kazi (70-73)

 • 8

  • Sheria yasomwa na kufafanuliwa mbele ya watu (1-12)

  • Sherehe ya Vibanda yaadhimishwa (13-18)

 • 9

  • Watu waungama dhambi zao (1-38)

   • Yehova, Mungu anayesamehe (17)

 • 10

  • Watu wakubali kuifuata Sheria (1-39)

   • “Hatutaipuuza nyumba ya Mungu wetu” (39)

 • 11

  • Watu waanza kuishi tena Yerusalemu (1-36)

 • 12

  • Makuhani na Walawi (1-26)

  • Ukuta wazinduliwa (27-43)

  • Kutegemeza utumishi wa hekalu (44-47)

 • 13

  • Nehemia afanya marekebisho zaidi (1-31)

   • Sehemu za kumi zatolewa (10-13)

   • Sabato isichafuliwe (15-22)

   • Wakatazwa kuoa watu wa mataifa mengine (23-28)