Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Mika

Sura

1 2 3 4 5 6 7

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Hukumu dhidi ya Samaria na Yuda (1-16)

   • Matatizo yasababishwa na dhambi na uasi (5)

 • 2

  • Ole kwa wakandamizaji! (1-11)

  • Waisraeli wakusanywa na kuunganishwa (12, 13)

   • Nchi itakuwa na kelele za watu (12)

 • 3

  • Viongozi na manabii washutumiwa (1-12)

   • Mika apata nguvu nyingi kwa sababu ya roho ya Yehova (8)

   • Makuhani wafundisha ili wapate pesa (11)

   • Yerusalemu litabaki marundo ya magofu (12)

 • 4

  • Mlima wa Yehova wainuliwa (1-5)

   • Panga zitakuwa majembe (3)

   • “Tutatembea katika jina la Yehova” (5)

  • Sayuni lajengwa upya na kuimarishwa (6-13)

 • 5

  • Mtawala atakayekuwa mkuu katika dunia yote (1-6)

   • Mtawala atatoka Bethlehemu (2)

  • Watu waliobaki watakuwa kama umande na kama simba (7-9)

  • Nchi itatakaswa (10-15)

 • 6

  • Mungu ana kesi dhidi ya Waisraeli (1-5)

  • Yehova anataka nini? (6-8)

   • Haki, ushikamanifu, kiasi (8)

  • Hatia na adhabu ya Waisraeli (9-16)

 • 7

  • Maadili mapotovu ya Waisraeli (1-6)

   • Adui watakuwa watu wa nyumbani (6)

  • “Nitaonyesha mtazamo wa kumngojea Mungu” (7)

  • Watu wa Mungu watetewa (8-13)

  • Mika asali na kumsifu Mungu (14-20)

   • Jibu la Yehova (15-17)

   • ‘Ni Mungu gani aliye kama Yehova?’ (18)