Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Mambo ya Walawi

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Dhabihu ya kuteketezwa (1-17)

 • 2

  • Toleo la nafaka (1-16)

 • 3

  • Dhabihu ya ushirika (1-17)

   • Msile mafuta wala damu (17)

 • 4

  • Dhabihu ya dhambi (1-35)

 • 5

  • Dhambi hususa na dhabihu zilizohitaji kutolewa (1-6)

   • Kutoa habari kuhusu dhambi za wengine (1)

  • Dhabihu ambazo zingeweza kutolewa na maskini (7-13)

  • Dhabihu ya hatia kwa ajili ya dhambi zilizotendwa bila kukusudia (14-19)

 • 6

  • Habari zaidi kuhusu dhabihu ya hatia (1-7)

  • Maagizo kuhusu dhabihu (8-30)

   • Dhabihu ya kuteketezwa (8-13)

   • Toleo la nafaka (14-23)

   • Dhabihu ya dhambi (24-30)

 • 7

  • Maagizo kuhusu dhabihu (1-21)

   • Dhabihu ya hatia (1-10)

   • Dhabihu ya ushirika (11-21)

  • Wakatazwa kula mafuta au damu (22-27)

  • Fungu la kuhani (28-36)

  • Orodha ya dhabihu mbalimbali (37, 38)

 • 8

  • Haruni na wanawe wawekwa rasmi kuwa makuhani (1-36)

 • 9

  • Haruni atoa dhabihu za kumweka rasmi kuwa kuhani (1-24)

 • 10

  • Moto kutoka kwa Yehova wawaangamiza Nadabu

   na Abihu (1-7)

  • Sheria ya makuhani kuhusu kula na kunywa (8-20)

 • 11

  • Wanyama safi na wasio safi (1-47)

 • 12

  • Kutakaswa kwa mwanamke baada ya kuzaa mtoto (1-8)

 • 13

  • Sheria kuhusu ukoma (1-46)

  • Ukoma unaoathiri mavazi (47-59)

 • 14

  • Kujitakasa ukoma (1-32)

  • Kutakasa nyumba zilizoathiriwa (33-57)

 • 15

  • Umajimaji unaotoka kwenye viungo vya uzazi (1-33)

 • 16

  • Siku ya Kufunika Dhambi (1-34)

 • 17

  • Hema la ibada, mahali pa kutoa dhabihu (1-9)

  • Wakatazwa kula damu (10-14)

  • Sheria kuhusu wanyama waliokufa (15, 16)

 • 18

  • Ngono haramu (1-30)

   • Msiwaige Wakanaani (3)

   • Ngono mbalimbali kati ya watu wa ukoo (6-18)

   • Wakati wa hedhi (19)

   • Ngono kati ya watu wa jinsia moja (22)

   • Ngono na wanyama (23)

   • ‘Msijichafue, kama sivyo, nchi itawatapika’ (24-30)

 • 19

  • Sheria mbalimbali kuhusu utakatifu (1-37)

   • Njia inayofaa ya kuvuna (9, 10)

   • Kuwajali viziwi na vipofu (14)

   • Uchongezi (16)

   • Usiwe na kinyongo (18)

   • Wakatazwa kufanya uchawi na kuwasiliana na roho waovu (26 , 31)

   • Wakatazwa kuchanja chale (28)

   • Kuwaheshimu waliozeeka (32)

   • Jinsi wageni wanavyopaswa kutendewa (33, 34)

 • 20

  • Ibada ya Moleki; kuwasiliana na roho waovu (1-6)

  • Iweni watakatifu na muwaheshimu wazazi (7-9)

  • Wanaofanya ngono haramu wanapaswa kuuawa (10-21)

  • Iweni watakatifu ili mwendelee kuishi nchini (22-26)

  • Wanaowasiliana na roho waovu wanapaswa kuuawa (27)

 • 21

  • Makuhani wawe watakatifu, wasiwe wachafu (1-9)

  • Kuhani mkuu asijichafue (10-15)

  • Makuhani wasiwe na kasoro yoyote mwilini (16-24)

 • 22

  • Utakatifu wa makuhani na ulaji wa vitu vitakatifu (1-16)

  • Dhabihu zisizo na kasoro ndizo zinazokubaliwa (17-33)

 • 23

  • Siku takatifu na sherehe takatifu (1-44)

   • Sabato (3)

   • Pasaka (4, 5)(4, 5)

   • Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (6-8)

   • Kutoa mazao au matunda ya kwanza (9-14)

   • Sherehe ya Majuma (15-21)

   • Njia inayofaa ya kuvuna (22)

   • Sherehe ya Kupiga Tarumbeta (23-25)

   • Siku ya Kufunika Dhambi (26-32)

   • Sherehe ya Vibanda (33-43)

 • 24

  • Mafuta kwa ajili ya taa za hema la ibada (1-4)

  • Mikate ya wonyesho (5-9)

  • Aliyelitukana jina la Mungu apigwa mawe (10-23)

 • 25

  • Mwaka wa Sabato (1-7)

  • Mwaka wa Mwadhimisho wa Miaka 50 (8-22)

  • Kurudishwa kwa mali (23-34)

  • Jinsi ya kuwatendea maskini (35-38)

  • Sheria kuhusu utumwa (39-55)

 • 26

  • Epukeni ibada ya sanamu (1, 2)

  • Baraka za kuwa mtiifu (3-13)

  • Adhabu ya kukosa kutii (14-46)

 • 27

  • Kukomboa vitu vilivyowekwa nadhiri (1-27)

  • Vitu vilivyotolewa kwa Yehova bila masharti (28, 29)

  • Kukomboa sehemu za kumi (30-34)