Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Barua kwa Wakolosai

Sura

1 2 3 4

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Salamu (1, 2)

  • Shukrani kwa sababu ya imani ya Wakolosai (3-8)

  • Sala kwa ajili ya ukuzi wa kiroho (9-12)

  • Jukumu muhimu la Kristo (13-23)

  • Kazi ngumu ya Paulo kwa ajili ya kutaniko (24-29)

 • 2

  • Siri takatifu ya Mungu, Kristo (1-5)

  • Jihadharini na wadanganyifu (6-15)

  • Uhalisi ni wa Kristo (16-23)

 • 3

  • Utu wa zamani na utu mpya (1-17)

   • Viueni viungo vya mwili wenu (5)

   • Upendo, kifungo kikamilifu cha muungano (14)

  • Ushauri kwa familia za Kikristo (18-25)

 • 4

  • Ushauri kwa mabwana (1)

  • “Dumuni katika sala” (2-4)

  • Kutembea kwa hekima kuelekea walio nje (5, 6)

  • Salamu za mwisho (7-18)