BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017)

Tito—Yaliyomo

Kiswahili
Tito—Yaliyomo
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg
nwt Tito

Barua kwa Tito

Sura

1 2 3

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Salamu (1-4)

    • Tito aagizwa kuweka rasmi wazee huko Krete (5-9)

    • Wakaripie wale wanaoasi (10-16)

  • 2

    • Ushauri unaofaa kwa wazee na vijana (1-15)

      • Kataa matendo yasiyompendeza Mungu (12)

      • Bidii kwa ajili ya matendo mema (14)

  • 3

    • Kujitiisha kwa njia inayofaa (1-3)

    • Uwe tayari kufanya matendo mema (4-8)

    • Epuka mabishano ya kipumbavu na madhehebu (9-11)

    • Maagizo ya kibinafsi na salamu (12-15)