Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mhubiri

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Kila kitu ni ubatili (1-11)

   • Dunia inadumu milele (4)

   • Mizunguko ya asili huendelea (5-7)

   • Hakuna jambo jipya chini ya jua (9)

  • Hekima ya wanadamu ni duni (12-18)

   • Kukimbiza upepo (14)

 • 2

  • Maelezo kuhusu mambo aliyotimiza Sulemani (1-11)

  • Hekima ya wanadamu haina faida kubwa (12-16)

  • Ubatili wa kazi ya jasho (17-23)

  • Ule, unywe, na kufurahia kazi (24-26)

 • 3

  • Kila jambo lina wakati wake (1-8)

  • Kufurahia maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu (9-15)

   • Umilele umo ndani ya mioyo ya wanadamu (11)

  • Mungu huwahukumu wote kwa haki (16, 17)

  • Wanadamu na wanyama wote hufa (18-22)

   • Wote watarudi mavumbini (20)

 • 4

  • Ukandamizaji ni mbaya kuliko kifo (1-3)

  • Maoni yanayofaa kuhusu kazi (4-6)

  • Faida ya rafiki (7-12)

   • Wawili ni bora (9)

  • Maisha ya mtawala yanaweza kuwa ya ubatili (13-16)

 • 5

  • Mkaribie Mungu kwa woga unaofaa (1-7)

  • Walio chini hutazamwa na walio juu zaidi (8, 9)

  • Ubatili wa utajiri (10-20)

   • Wanaopenda pesa hawatosheki kamwe (10)

   • Usingizi wa mfanyakazi ni mtamu (12)

 • 6

  • Mali bila furaha (1-6)

  • Furahia ulicho nacho (7-12)

 • 7

  • Jina zuri na siku ya kufa (1-4)

  • Kemeo la mtu mwenye hekima (5-7)

  • Mwisho ni bora kuliko mwanzo (8-10)

  • Faida ya hekima (11, 12)

  • Siku njema na siku mbaya (13-15)

  • Usipite kiasi (16-22)

  • Aliyoyaona mkutanishaji (23-29)

 • 8

  • Mwanadamu asiye mkamilifu anapotawala (1-17)

   • Tii amri za mfalme (2-4)

   • Madhara ya utawala wa mwanadamu (9)

   • Hukumu isipotekelezwa upesi (11)

   • Ule, unywe, na kufurahia (15)

 • 9

  • Wote hupatwa na jambo lilelile (1-3)

  • Furahia maisha licha ya kwamba utakufa (4-12)

   • Waliokufa hawajui jambo lolote (5)

   • Hakuna kazi yoyote Kaburini (10)

   • Wakati na matukio yasiyotarajiwa (11)

  • Hekima haithaminiwi sikuzote (13-18)

 • 10

  • Upumbavu kidogo huharibu hekima (1)

  • Hatari za upumbavu (2-11)

  • Madhara ya kuwa mjinga (12-15)

  • Upumbavu miongoni mwa watawala (16-20)

   • Huenda ndege akarudia maneno uliyosema (20)

 • 11

  • Tumia fursa unayopata (1-8)

   • Tupa mkate wako juu ya maji (1)

   • Panda mbegu kuanzia asubuhi mpaka jioni (6)

  • Furahia ujana wako kwa njia inayofaa (9, 10)

 • 12

  • Mkumbuke Muumba kabla hujazeeka (1-8)

  • Hitimisho la maneno ya mkutanishaji (9-14)

   • Maneno ya hekima ni kama michokoo ya kuongozea ng’ombe (11)

   • Mwogope Mungu wa kweli (13)