BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017)

Nahumu—Yaliyomo

Kiswahili
Nahumu—Yaliyomo
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg
nwt Nahumu

Kitabu cha Nahumu

Sura

1 2 3

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Mungu awalipiza kisasi maadui wake (1-7)

      • Mungu anataka watu wamwabudu yeye peke yake (2)

      • Yehova huwajali wanaomkimbilia (7)

    • Ninawi kuangamizwa (8-14)

      • Taabu haitatokea mara ya pili (9)

    • Taifa la Yuda latangaziwa habari njema (15)

  • 2

    • Ninawi kuangamizwa (1-13)

      • “Malango ya mto yatafunguliwa” (6)

  • 3

    • “Ole kwa jiji la umwagaji wa damu.” (1-19)

      • Sababu za kuihukumu Ninawi (1-7)

      • Ninawi litaangamizwa kama No-amoni (8-12)

      • Ninawi halitaepuka kuangamizwa (13-19)