Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Barua ya Pili kwa Wakorintho

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13

Muhtasari wa Yaliyomo

 • 1

  • Salamu (1, 2)

  • Faraja kutoka kwa Mungu katika dhiki zote (3-11)

  • Mabadiliko katika mipango ya safari za Paulo (12-24)

 • 2

  • Paulo akusudia kuleta shangwe (1-4)

  • Mtenda dhambi asamehewa na kurudishwa (5-11)

  • Paulo huko Troa na Makedonia (12, 13)

  • Huduma, maandamano ya ushindi (14-17)

   • Si wachuuzi wa neno la Mungu (17)

 • 3

  • Barua za mapendekezo (1-3)

  • Wahudumu wa agano jipya (4-6)

  • Utukufu ulio bora wa agano jipya (7-18)

 • 4

  • Nuru ya habari njema (1-6)

   • Akili za wasioamini zimepofushwa (4)

  • Hazina katika vyombo vya udongo (7-18)

 • 5

  • Kuvaa makao ya kimbingu (1-10)

  • Huduma ya upatanisho (11-21)

   • Kiumbe kipya (17)

   • Mabalozi wa Kristo (20)

 • 6

  • Fadhili za Mungu hazipaswi kutumiwa vibaya (1, 2)

  • Huduma ya Paulo yafafanuliwa (3-13)

  • Msifungwe nira isivyo sawa (14-18)

 • 7

  • Tujisafishe unajisi (1)

  • Shangwe ya Paulo kuhusu Wakorintho (2-4)

  • Tito aleta habari nzuri (5-7)

  • Huzuni ya kimungu na toba (8-16)

 • 8

  • Mchango kwa ajili ya Wakristo wa Yudea (1-15)

  • Tito kutumwa Korintho (16-24)

 • 9

  • Wachochewa kutoa (1-15)

   • Mungu humpenda mtoaji mchangamfu (7)

 • 10

  • Paulo aitetea huduma yake (1-18)

   • Silaha zetu si za kimwili (4, 5)

 • 11

  • Paulo na mitume walio bora sana (1-15)

  • Hali ngumu alizokabili Paulo akiwa mtume (16-33)

 • 12

  • Maono ya Paulo (1-7a)

  • “Mwiba katika mwili” wa Paulo (7b-10)

  • Hajapungukiwa kuliko mitume walio bora sana (11-13)

  • Paulo awahangaikia Wakorintho (14-21)

 • 13

  • Maonyo ya mwisho na himizo (1-14)

   • “Endeleeni kujijaribu kama mko katika imani” (5)

   • Mrekebishwe upya; mfikiri kwa upatano (11)