NYIMBO ZILIZOTUNGWA

Najitoa Kwako

Kiswahili
Najitoa Kwako
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014324/univ/art/1014324_univ_sqr_xl.jpg

Najitoa Kwako

Najitoa Kwako

Pakua:

  1. 1. Nitazamapo nyota,

    Zinavyomeremeta,

    Ninavutiwa na kazi zako,

    Nakupenda sana.

  2. 2. Ninajitoa kwako,

    Niongoze daima.

    Na kila siku, nitakutii

    Kwa moyo wangu wote.

    (KORASI)

    Kwa ajili yangu

    Ulitoa

    Mwanao mpendwa,

    Umenipatia

    Tumaini,

    Najitoa kwako;

    Najitoa kwako.

  3. 3. Jua likiangaza,

    Nuru inavutia,

    Ninashangazwa na njia zako

    Ah! Mungu wa milele!

    (KORASI)

    Kwa ajili yangu

    Ulitoa

    Mwanao mpendwa,

    Umenipatia

    Tumaini,

    Najitoa kwako;

    Najitoa kwako.

    (KORASI)

    Kwa ajili yangu

    Ulitoa

    Mwanao mpendwa,

    Umenipatia

    Tumaini,

    Najitoa kwako;

    Najitoa kwako.