Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mbio za Uzima

Mbio za Uzima

Pakua:

  1. 1. Ya nyuma

    Usitazame.

    Utazame mbele

    Mwisho wa mbio.

    Imarika sasa.

    Jenga imani.

    Nawe usidanganywe.

    Na ulimwengu.

    (KORASI)

    Sasa

    Kimbia, kimbia.

    Ni za uzima.

    We kimbia; tu, kimbia.

    Upate zawadi.

    We kimbia, kimbia.

    Zidi kusonga mbele—

    Nawe usichoke.

    We kimbia.

    Tu, kimbia.

  2. 2. Tuzo yetu—

    Itadumu milele.

    Na baraka zote—

    Atatimiza.

    (KORASI)

    Sasa

    Kimbia; kimbia

    Ni za uzima.

    We kimbia; tu, kimbia.

    Upate zawadi.

    We kimbia, kimbia.

    Zidi kusonga mbele—

    Nawe usichoke.

    We kimbia.

    Tu, kimbia.

    Ni za uzima.

    (DARAJA)

    Na ulimwengu wakuwinda we

    Ili kukupotosha.

    Usimame imara.

    Sasa

    Kimbia, kimbia.

    Kimbia, kimbia.

    (KORASI)

    Sasa

    Kimbia, kimbia.

    Ni za uzima.

    We kimbia; tu, kimbia.

    Upate zawadi.

    We kimbia’ kimbia.

    Zidi kusonga mbele—

    Nawe usichoke.

    We kimbia.

    Tu kimbia.

    Ni za uzima.

    Ni za uzima.

    Ukimbie mbio, we.

    Kazana kimbia.

    Kimbia.

    We kimbia

    Kimbia.

    Ni za uzima!