Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Utaona

Utaona

Pakua:

  1. 1. Nafumba macho naona

    Dunia mpya ya amani.

    Njo’ nami,

    Uone.

    Uone.

  2. 2. Si ndoto tu, atatimiza.

    Mungu kaahidi zamani

    Ni za kweli,

    Wazia.

    Uone.

    (KORASI)

    Tazama—

    Wote ni shangwe na furaha.

    Uone—

    Kusudi la Mungu kwa dunia.

  3. 3. Na waliokufa zamani,

    Waishi tena; pamoja nasi.

    Njo’ nami,

    Uone.

    Uone.

  4. 4. Maumivu wala kilio

    Havipo tena; vimetoweka.

    Njo’ nami,

    Uone.

    Uone.

    (KORASI)

    Tazama—

    Wote ni shangwe na furaha.

    Uone—

    Kusudi la Mungu kwa dunia.

  5. 5. Neno la Yehova ni kweli.

    Kwa Imani, ninasadiki.

    (DARAJA)

    Ahadi

    Za Mungu,

    Ni hakika

    Zitadumu milele,

    Nawe—

  6. 6. Fumba macho njo’ nami

    Dunia mpya ya amani.

    Njo’ nami,

    Uone.

    Uone.