Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Sijaachwa Peke Yangu

Sijaachwa Peke Yangu

Pakua:

  1. 1. Nimesalitiwa na kutelekezwa,

    Nimevunjika moyo na

    Nimeishiwa na nguvu

    Hakuna yeyote anayenijali

    Nani anifariji, nani anisaidie?

    (KORASI)

    Sijaachwa peke yangu

    Kwa sababu ninajua

    Yehova ananijali

    Husikia sala zangu

    Na hata iweje, hataniacha.

  2. 2. Nitashikamana na Mungu wangu.

    Hata nivunjwe moyo, sina wasiwasi nawe

    U karibu nami,

    Huniachi kamwe.

    Nakutumainia,

    Hautanitelekeza.

    (KORASI)

    Sijaachwa peke yangu

    Kwa sababu ninajua

    Yehova ananijali.

    Husikia sala zangu

    Na hata iweje, hataniacha

    Peke yangu.

    Kwa sababu ninajua

    Yehova ananijali

    Husikia sala zangu;

    Na hata iweje,

    Hataniacha.