Waambie Unawapenda
Pakua:
1. Bustani nzuri hunawiri,
Inapotunzwa kwa upendo.
Wapendwa wako wapaswa kuhisi,
Upendo wako wa kweli.
(KORASI)
Hivyo wa’mbie; wawapenda.
Ukiwapenda; watakua.
Matendo yako na yadhihirishe,
Lakini wa’mbie; unawapenda.
2. Japo upendo ni mwingi moyoni
Si rahisi kuutamka.
Upendo wetu uonekane
Kwa wote tunaowapenda.
(KORASI)
Hivyo wa’mbie; wawapenda.
Ukiwapenda; watakua.
Matendo yako na yadhihirishe,
Lakini wa’mbie; unawapenda.
Hivyo wa’mbie; wawapenda.
Ukiwapenda; watakua.
Matendo yako na yadhihirishe,
Lakini wa’mbie; unawapenda.
(DARAJA)
Yehova Mungu alitangaza,
Kwamba Yesu ni mwanaye mpendwa,
Japo alijua, aliimarishwa
Na tamko hilo!
(KORASI)
Hivyo wa’mbie; wawapenda.
Ukiwapenda; watakua.
Matendo yako na yadhihirishe,
Lakini wa’mbie; unawapenda.
Hivyo wa’mbie; wawapenda.
Ukiwapenda; watakua.
Matendo yako na yadhihirishe,
Lakini wa’mbie; unawapenda.

