NYIMBO ZILIZOTUNGWA

Imejaa Upendo

Kiswahili
Imejaa Upendo
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502900111/univ/art/502900111_univ_sqr_xl.jpg

Imejaa Upendo

Imejaa Upendo

Pakua:

  1. 1. Barua ya Baba mpendwa nasoma kila siku,

    Ni mawazo ya thamani, yanagusa moyo wangu⁠—

    Kila niamkapo yanipa uhakika

    Kwamba mambo nisomayo yatanifariji.

    (KORASI)

    Kama tu vile umande,

    Kama joto la jua,

    Kama tu mwezi mwangavu—

    Hufaidi wote.

    Kama godoro laini,

    Neno hunifariji.

    Ni rahisi kukubali,

    Limechochewa na

    Na upendo—

    wa Yehova.

  2. 2. Lanikumbusha ya kwamba⁠—shida ni za muda tu⁠—Lanipa tumaini, nimeelimishwa.

    Ahadi zako zafanya nikukaribie.

    Tena nakushukuru kwa zawadi kamili.

    (KORASI)

    Kama tu vile umande,

    Kama joto la jua,

    Kama tu mwezi mwangavu—

    Hufaidi wote.

    Kama godoro laini,

    Neno hunifariji.

    Ni rahisi kukubali,

    Limechochewa na

    Na upendo—

    wa Yehova.

    (DARAJA)

    Kama mti kando ya mto nimeimarika,

    Hujenga imani yangu.

    Acha nishiriki pamoja na wengi

    Napenda sana Neno lako.

  3. 3. Barua ya Baba mpendwa nasoma kila siku,

    Ni mawazo ya thamani, yanagusa moyo wangu⁠—

    Kila niamkapo yanipa uhakika

    Kwamba mambo nisomayo yatanifariji.

    (KORASI)

    Kama tu vile umande,

    Kama joto la jua,

    Kama tu mwezi mwangavu—

    Hufaidi wote.

    Kama godoro laini,

    Neno hunifariji.

    Ni rahisi kukubali,

    Limechochewa na

    Na upendo—

    wa Yehova.