NYIMBO ZILIZOTUNGWA

Ni Muda Tu

Kiswahili
Ni Muda Tu
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014399/univ/art/1014399_univ_sqr_xl.jpg

Ni Muda Tu

Ni Muda Tu

Pakua:

  1. 1. Muda wapita upesi sana.

    Nadhoofika na umri wasonga.

    Najua, oh, oh, oh, ni muda tu.

    Nimepoteza wapendwa wangu,

    Kwa hakika ninawakosa sana.

    Najua, oh, oh, oh, ni muda tu.

    (KORASI)

    Nina tumaini hakika karibuni.

    Ufalme watawala milele utaleta amani.

    Ni muda tu.

    Na wapendwa kufufuliwa.

    Huzuni, maumivu kwisha, najua.

    Mungu wetu kuleta paradiso.

    Ni muda tu.

  2. 2. Nitazamapo ulimwengu wetu,

    Ni wazi kwamba muda si mwingi.

    Najua, oh, oh, oh, ni muda tu.

    Najitahidi kufanya mema,

    Kumfanya Yehova awe kwanza,

    Najua, oh, oh, oh, ni muda tu.

    (KORASI)

    Nina tumaini hakika karibuni.

    Ufalme watawala milele utaleta amani.

    Ni muda tu.

    Na wapendwa kufufuliwa.

    Huzuni, maumivu kwisha, najua.

    Mungu wetu kuleta paradiso.

    Ni muda tu.

    (DARAJA)

    Hata kama sitaona mwisho ufikapo,

    Najua Yehova atanikumbuka tu.

    (KORASI)

    Nina tumaini hakika karibuni.

    Ufalme watawala milele utaleta amani.

    Ni muda tu.

    Na wapendwa kufufuliwa.

    Huzuni, maumivu kwisha, najua.

    Mungu wetu kuleta paradiso.

    Kuleta, oh, oh, oh.

    Ni muda tu.