Hamia kwenye habari

Kufikia Miradi ya Kiroho

Mashahidi wa Yehova wametambua kwamba Biblia inawasaidia kuendelea kukua kiroho na kufikia miradi yao.

Maisha Bora Zaidi

Je, ungependa kuishi maisha yenye kuthawabisha? Msikilize Cameron akieleza jinsi alivyopata maisha yenye kuridhisha mahali ambapo hakutarajia.

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari

Dada wengi ambao wametumikia kwenye nchi za kigeni, mwanzoni walikuwa na shaka kuhusu kuhamia huko. Walipataje ujasiri? Wamejifunza nini kutokana na utumishi wao katika nchi ya kigeni?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Nchini Albania na Kosovo

Ni mambo gani yanayoleta shangwe yaliyowasaidia wajitoleaji hao kuvumilia licha ya changamoto?

Walijitoa kwa Hiari​—Nchini Bulgaria

Kuhamia nchi ya kigeni ili kuhubiri hutokeza changamoto gani?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ghana

Kuna changamoto na thawabu nyingi kwa wale wanaochagua kutumikia mahali penye uhitaji mkubwa wa wahubiri wa Ufalme.

Walijitoa kwa Hiari—Nchini Guyana

Tunajifunza nini kutokana na wajitoleaji hawa? Masomo hayo yanaweza kukusaidiaje ujitayarishe kutumikia katika nchi ya kigeni ikiwa ungependa kufanya hivyo?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Madagaska

Wajue baadhi ya wahubiri ambao wamejitoa wenyewe ili kusaidia kueneza ujumbe wa Ufalme kotekote nchini Madagaska.

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Micronesia

Wale wanaotoka nchi nyingine ili kutumika katika Visiwa vya Pasifiki mara nyingi hukabili changamoto tatu. Wahubiri hawa wa Ufalme hukabilianaje na hali hizo?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Nchini Myanmar

Kwa nini Mashahidi wengi wa Yehova wamehama nchi zao na kuhamia nchini Myanmar ili kusaidia katika kazi ya mavuno ya kiroho?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—New York

Kwa nini wenzi wa ndoa waliofanikiwa maishani walihama kutoka kwenye nyumba yao ya kifahari na kuishi katika nyumba ndogo?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Nchini Norway

Swali wasilotarajia liliwachocheaje kutumikia eneo lenye uhitaji mkubwa zaidi?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Oceania

Mashahidi wa Yehova wanaohubiri katika maeneo yenye uhitaji mkubwa huko Oceania wamekabilianaje na changamoto wanazopata?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari Nchini Ufilipino

Jifunze kilichowachochea wengine kuacha kazi zao, kuuza vitu vyao, na kuhamia katika maeneo ya mbali nchini Ufilipino.

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Nchini Urusi

Soma kuhusu wenzi wa ndoa na waseja ambao wamehamia nchini Urusi ili kutumikia katika eneo lenye uhitaji mkubwa. Wamejifunza kumtegemea Yehova zaidi!

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Nchini Taiwan

Zaidi ya Mashahidi 100 wa Yehova wamehamia katika maeneo yaliyo na uhitaji mkubwa wa wahubiri wa Ufalme. Furahia masimulizi yao na ujifunze madokezo yaliyowasaidia kufanikiwa.

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​​—Nchini Uturuki

Mwaka wa 2014, kulikuwa na kampeni ya pekee ya kuhubiri nchini Uturuki. Kwa nini kampeni hiyo ilifanywa? Kulikuwa na matokeo gani?

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Afrika Magharibi

Ni nini kilichowachochea baadhi ya watu kutoka Ulaya kuhamia Afrika Magharibi na wamenufaika jinsi gani?

Tuliamua Kurahisisha Maisha Yetu

Hotuba kwenye kusanyiko ilisaidia wenzi fulani wa ndoa nchini Kolombia kuchanganua mambo wanayotanguliza maishani.

Uamuzi Niliofanya Utotoni

Mvulana mdogo kutoka Columbus, Ohio, Marekani aliamua kujifunza Kikambodia. Kwa nini? Uamuzi wake ulikuwa na matokeo gani maishani mwake?