Fahirisi ya Buku la 86 la Amkeni!

Fahirisi ya Buku la 86 la Amkeni!

Fahirisi ya Buku la 86 la Amkeni!

AFYA NA TIBA

Homa ya 1918-1919, 12/22

Kansa ya Ngozi, 6/8

Kukabili Ugonjwa kwa Ucheshi, 4/22

Kutembea Kusiko kwa Kawaida! 11/22

Kutumia Kileo Vibaya, 10/8

Kuwaelewa Madaktari, 1/22

Mazoezi, 5/22

Mfadhaiko, 2/8

Moshi Unaoua, 6/8

Tauni Nyingine ya Ulimwenguni Pote, 12/22

Tunza Meno Yako, 11/8

Virusi Ambavyo Wanawake Wanapaswa Kujua (papillomavirus), 6/22

DINI

Damu Yamwagwa kwa Jina la Kristo (Mexico), 8/22

Hadithi za Biblia Katika Barafu na Theluji (Ujerumani), 12/22

Je, Yesu Kristo Ni Mungu? 4/22

Kuchanganya Ukatoliki na Dini za Kiafrika, 2/22

Tulitumie Jina la Mungu? 4/22

MAHUSIANO YA WANADAMU

Kuwaelewa Madaktari, 1/22

Kuwasaidia Vijana Wanaotaabika, 4/8

Mama Wakiwa Wafundishaji, 2/22

Vijana Wanahitaji “Wakati wa Kuwasiliana na Mtu Mzima,” 10/8

Watazamaji Wanaoweza Kuathiriwa, 3/22

MAMBO MENGINE

Asali—Zawadi ya Nyuki, 8/8

Chokoleti, 3/22

Dhahabu, 9/22

Divai, Mbao, Utengenezaji wa Mapipa, 7/22

“Dragoni Weupe” (maporomoko ya theluji), 10/8

Je, Simu za Mkononi Zina Faida au Hasara? 2/8

Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8

Jinsi Sabuni Ilivyopata Kuwa Muhimu, 8/8

Kahawa ya Kona, 5/22

Kupamba Chuma kwa Dhahabu (usanii wa kupamba chuma kwa dhahabu), 1/22

Kutunza Bustani Kwaweza Kukunufaisha, 4/22

‘Laiti Ningalifanya Hivyo Mapema Zaidi’ (michezo ya video), 9/8

Lulu (Bahari za Kusini), 3/22

Makaa ya Mawe, 6/22

Makaburi—Hutufunulia Imani za Kale, 12/8

Maktaba, 5/22

Mei Mosi, 4/22

Milima—Ni Muhimu kwa Uhai, 3/22

Nyumba Safi, 6/8

Saa za Mkononi, 5/22

Vitu Vingi, Uradhi Haba, 11/22

Vitu vya Kuchezea vya Zamani na vya Sasa, 8/8

Wewe Huendesha Gari Upande Gani wa Barabara? 3/22

MAONI YA BIBLIA

Biblia Huwabagua Wanawake? 11/8

Je, Mungu Yuko Kila Mahali? 3/8

Je, Wanawake Wafiche Urembo Wao? 10/8

Je, Sanamu za Kuchorwa Zitumiwe Katika Ibada? 5/8

Kuwapa Watoto Uangalifu Wanaohitaji, 2/8

Mungu Hupendelea Mataifa Fulani? 12/8

Ndoa Kati ya Watu wa Jinsia Moja, 4/8

Ni Vibaya Kutamani Makuu? 6/8

Je, Sanamu za Kuchorwa Zitumiwe Katika Ibada, 5/8

Unajimu Unaweza Kukufunulia Wakati Ujao? 8/8

Uogope Har–Magedoni? 7/8

Upole Ni Udhaifu? 1/8

Usali kwa Bikira Maria? 9/8

MASHAHIDI WA YEHOVA

Alifunzwa na Amkeni! 2/22

Dhamiri Njema Humtukuza Mungu, 8/22

‘Jivunie Jambo Hilo,’ 6/8

“Karibu Kwenye Tengenezo la Yehova” (Finland), 12/8

Kumbukumbu Zenye Thamani Zarudi (kitabu Mwalimu), 12/8

Kutoa Faraja Wakati wa Msiba (Hispania), 10/22

Kutoa Ushahidi Mzuri Shuleni (Mexico), 9/22

“Laiti Wangejua!” (Jamhuri ya Dominika), 1/8

Magereza ya Mexico, 10/8

Makala ya Zamani Yagusa Mioyo, 8/8

‘Nilitaka Kujua Mengi Zaidi Kuhusu Dini Yangu,’ 5/8

Tulihisi Msaada wa Mungu (kutekwa nyara), 10/22

Tulionywa kwa Kusoma Amkeni!, (tsunami) 7/22

“Utii wa Kimungu” Makusanyiko ya Wilaya, 5/22, 6/8

“Video Hii Huokoa Uhai!” 9/8

Vijana Wanatoa Ushahidi Wenye Nguvu, 9/8

Wafungwa Warekebishwa, 4/8

MASIMULIZI YA MAISHA

Azimio Langu Licha ya Ulemavu (K. N’Guessan), 12/8

Naazimia Kufikia Mradi Wangu (M. Serna), 6/22

Nahukumiwa Mara Mbili kwa Miaka 25 (E. Platon), 12/22

Nilifurahia Kufanya Mengi Zaidi (C. Vavy), 2/22

Nilimtumikia Mungu Licha ya Magumu (I. Mikitkov), 4/22

Nilivutwa kwa Muumba na Kweli Nzuri za Biblia (T. Fujii), 8/8

Sayansi na Biblia Zilinisaidia Kupata Kusudi la Uhai (B. Oelschlägel), 11/22

Tulipata Kitu Bora Zaidi (F. Del Rosario de Páez), 8/22

Vita Vilivyobadili Maisha Yangu (M. Molina), 10/22

MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU

Dunia Iliyoharibiwa, 1/8

Kuiba Vitu Dukani, 6/22

Kulisha Majiji, 11/22

Kulisha Watu Bilioni Moja, 7/22

Kunaswa na Kileo, 10/8

Magazeti Yaathiri Kufikiri Kwako? 10/22

Maisha Bila Woga, 8/8

Misiba ya Asili, 7/22

Msongamano wa Magari, 11/22

Nishati Bila Kuchafua Mazingira, 3/8

Sinema, 5/8

Tatizo la Nyumba Ulimwenguni, 9/22

Tumaini kwa Maskini, 11/8

Ukosefu wa Makao, 12/8

Utalii, 8/22

NCHI NA WATU

Barabara ya Giant’s Causeway (Ireland), 11/8

Barafu Juu ya Ikweta (Kenya), 8/22

Bass Rock—Mahali Membe Hukutana, 12/22

“Bibi Kizee wa Barabara ya Threadneedle” (Benki ya Uingereza), 4/8

Blini ya Urusi, 12/22

Bolivianita (jiwe la bolivianite), 9/22

Bonde la Ngorongo (Tanzania), 1/8

Bonde Linalochanua Maua (Ukrainia), 4/22

Capoeira (Brazili), 4/8

Corcovado Mbuga Inayovutia ya Kosta Rika, 2/8

Damu Yamwagwa Katika Jina la Kristo (Mexico), 8/22

Delta Yenye Mandhari Mbalimbali (Mto Danube, Rumania), 10/22

Donge la Chumvi (Zambia), 5/8

Duara za Afrika Zisizoeleweka, 10/22

“Farasi Wanaocheza Dansi” (Hispania), 5/22

Gaucho wa Brazili, 7/8

Hadithi za Biblia Zasimuliwa kwa Barafu na Theluji, 12/22

“Hakuna Matusi” (Wenyeji wa Asili wa Amerika), 7/8

Historia ya Zambarau (Mexico), 12/8

Huonekana Kama Chakula Halisi! (Japani), 5/8

Jinsi Biashara ya Almasi Ilivyoanza (Afrika Kusini), 11/22

Juhudi za Msanii za Kutafuta Furaha (Paul Gauguin, Polinesia ya Ufaransa), 10/8

Kalenda ya Wamaya, 4/8

Kilitoka Kwenye Anga za Juu (kimondo cha Tanzania), 8/22

Kimchi—Chakula Kikuu cha Wakorea, 7/8

Kisiwa cha Man, 7/8

Kuhifadhi Maji ya Mvua (India), 4/8

Kuna Faida za Kutembelea Majumba ya Makumbusho? (Washington, D.C., Marekani), 3/8

Kunywa Chai Kama Wachina, 11/8

Kusafiri Majini na Kwenye Nchi Kavu! (Poland), 1/22

Kuteleza Mawimbini kwa Ujasiri kwa Kutumia Matete (Peru), 12/8

Kutembea Kusiko kwa Kawaida! (Finland), 11/22

Kutembelea “Mlima wa Moto” (Italia), 9/8

Mabara Sita Yaungana (hifadhi ya Ukrainia), 2/22

Maktaba ya Alexandria (Misri), 1/8

“Nafikiri Wewe Ndiwe Dakt. Livingstone” (Tanzania), 2/8

Nchi Yenye Sarafu Kubwa (Yap), 1/8

Nyumba Zenye “Makoti ya Manyoya” (Ukrainia), 10/22

Pango la Marumaru (Mexico), 2/8

Recife—Jiji Lililositawi kwa Sababu ya Sukari (Brazili), 6/8

Tapioca—Chakula Kitamu cha Wabrazili, 8/22

“Tukutane Kisimani” (Moldova), 11/8

Uvumbuzi Kwenye Ghuba ya Red (Kanada), 10/8

Venice (Italia), 3/22

Vitunguu Saumu (Jamhuri ya Dominika), 9/22

Ziwa Lenye Rangi ya Waridi (Senegal), 9/22

SAYANSI

Jantar Mantar—Kituo cha Kutazama Angani (India), 7/8

Je, Kuna DNA Zisizohitajiwa? 2/22

Jua Linaloangaza Katikati ya Usiku, 5/22

Minyororo ya Uhai, 1/22

Mtu Aliyefunua Siri za Mfumo wa Jua (Kepler), 3/8

Mtu Aliyeonyesha Kwamba Dunia Huzunguka (Kopeniko), 7/22

Mwaka wa Kipekee wa Einstein, 9/8

Ni “Kana Kwamba Ilibuniwa”? (bangili za Zohali), 6/22

Ugunduzi Katika Ikweta ya Dunia, 12/22

UCHUMI NA KAZI

“Bibi Kizee wa Barabara ya Threadneedle” (Benki ya Uingereza), 4/8

Kupata na Kudumisha Kazi, 7/8

VIJANA HUULIZA

Arusi? 11/22

Dawa za Steroidi, 12/22

Kudhibitije Hisia? 2/22

Kujihusisha na Watu Wasiofaa, 7/22, 8/22

Kwa Nini Nifanye Kazi za Mikono? 3/22

Uchumba Kwenye Intaneti, 4/22, 5/22

Umtendeeje Msichana Anayeonyesha Upendezi? 6/22

Vituo vya Maongezi, 9/22, 10/22

Wengine Wanaponieleza Matatizo Yao, 1/22

WANYAMA NA MIMEA

Alizeti, 8/22

Bass Rock—Mahali Membe Hukutana, 12/22

Beri Zinazodunda-Dunda (cranberry), 6/22

Dragoni Wanapotoweka (dragoni wa baharini wanaofanana na jani), 6/22

“Farasi Wanaocheza Dansi,” 5/22

Jamii za Wanyama Zinazokabili Hatari ya Kutoweka, 7/22

Jicama—Chakula Chenye Afya cha Wamexico, 10/22

Jinsi Wanyama Wanavyowalisha na Kuwatunza Watoto Wao, 3/22

Kirukanjia, 5/8

Kombe—Ni Chakula cha Visiwani, 2/22

Kuchanua Maua (narcissus), 4/22

Kujificha (kujificha kwa wanyama), 7/22

Maaskari wa Baharini (uduvi), 1/22

Mabara Sita Yaungana (hifadhi ya Ukrainia), 2/22

Mamba, 3/8

Maua ya Mcheri, 4/8

Mchungi (ndege), 9/22

Mtilili (ndege), 11/8

Ni Maua ya Mwituni au Magugu? 6/8

Nopal (dungusi), 11/8

Nyanya, 3/8

Shomoro Aliyejeruhiwa Apata Makao Mapya, 5/8

Sungura na Vyura—Wavamizi (Australia), 2/8

Ushirikiano, 9/8

Uyoga, 12/8

Vipepeo Maridadi wa Tropiki (vipepeo), 5/8

Vitunguu Saumu, 9/22

Wasafishaji Wenye Kushangaza wa Baharini (mbilimbibahari), 9/8

Watoto wa Sili (sili wa harp), 1/8

Wenzi Wasio wa Kawaida (pweza), 1/22