AMKENI! Julai 2013 | Je, Maandamano Yatatatua Matatizo?

Katika makala hii, ona ni kwa nini maandamano yameongezeka na unaweza kupata wapi suluhisho la matatizo.

Kuutazama Ulimwengu

Habari kuhusu: ubaguzi katika mahojiano ya maombi ya kazi na sheria mpya kwa makampuni ya sigara nchini Australia.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

Unaweza kufanya nini mtoto wako anapolipuka kwa hasira? Kanuni za Biblia zinaweza kukusaidia kukabiliana na tatizo hilo.

HABARI KUU

Je, Maandamano Yatatatua Matatizo?

Maandamano yanaweza kuwa na uvutano mkubwa na kuleta mabadiliko. Lakini je, hilo ndilo suluhisho la ukosefu wa haki, ufisadi, na ukandamizaji?

HABARI KUU

Niliona Ukosefu wa Haki Kila Mahali

Kwa nini kijana kutoka Ireland Kaskazini alibadili maoni yake kuhusu jinsi ambavyo haki ya kweli inaweza kupatikana?

Sand Cat Paka Asiyeonekana kwa Urahisi

Je, umewahi kusikia kuhusu paka anayeitwa sand cat? Jifunze kuhusu paka huyo na sababu inayomfanya asiweze kuonekana kwa urahisi.

NCHI NA WATU

Kutembelea Azerbaijan

Waazerbaijani ni watu wachangamfu na wenye shauku. Soma mengi kuhusu nchi na utamaduni wao.

MAONI YA BIBLIA

Ufalme wa Mungu

Watu fulani wanaamini kwamba Ufalme wa Mungu uko katika mioyo ya waamini au kwamba utaletwa kupitia jitihada za wanadamu. Biblia inasema nini?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Ubongo wa Kindi wa Aktiki Unaoweza Kustahimili Baridi Kali

Mnyama huyu mdogo huendeleaje kuishi kiwango cha joto mwilini mwake kinaposhuka karibu kufikia kiwango cha kuganda?

Habari Zaidi Mtandaoni

Nifanye Nini Ikiwa Nina Tatizo la Afya?—Sehemu ya 2

Soma masimulizi ya vijana ambao wamejifunza kukabiliana na matatizo makubwa ya afya huku wakiendelea kuwa na mtazamo unaofaa.

Hadithi ya Wana wa Yakobo

Unapaswa kufanya nini ikiwa ndugu, dada, au rafiki yako anapewa kitu ambacho wewe ungependa kuwa nacho?