Korea Kusini
Mashahidi wa Yehova Nchini Korea Kusini
-
105,726—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
1,239—Makutaniko
-
134,522—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 485—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
51,169,000—Idadi ya watu
-
0—Waliofungwa kwa sababu ya imani yao
Msimamo wa Kikristo wa Kutounga Mkono Upande Wowote Nchini Korea Kusini—Historia ya Imani na Ujasiri
Tangu mwaka wa 1953, akina ndugu vijana nchini Korea ambao ni Mashahidi wa Yehova wamefungwa kwa kukataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri. Mnamo Februari 2019, hali hiyo ilibadilika. Jifunze ni nini kilichoongoza kwenye tukio hilo la kihistoria.
Inaonyesha tokeo la 1 - 15 kati ya matokeo 47

