Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

JW LUGHA

Utegemezo kwa Mfumo wa Android

Utegemezo kwa Mfumo wa Android

JW Lugha ni programu ya Mashahidi wa Yehova ya kuwasaidia watu kuboresha msamiati na uwezo wao wa kuwasiliana kwenye huduma na mikutano ya kutaniko.

 

Ni Nini Kipya Katika Toleo la 2.5

  • Msamiati: Ona jinsi maneno tofauti yanavyobadili sentensi ili kukusaidia kuelewa msamiati na mpangilio wa lugha unayojifunza. Badili maneno kutoka hali ya umoja hadi wingi, wakati ujao hadi wakati uliopita, na mengi zaidi.

Tafadhali Zingatia:

  • Uwezo wa kusoma maandishi katika herufi za Kiroma haupo wakati huu.

  • Sehemu ya kusikiliza kwenye Msamiati inatumia programu ya kugeuza maandishi kwa kusoma katika kifaa chako, ili kuwezesha jinsi lugha na rekodi za kusikiliza zinavyoweza kupangwa katika mpangilio wa kifaa chako.

  • Sehemu ya Msamiati haipatikani katika Kiarabu na Low German.

 

KATIKA SEHEMU HII

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi​—JW Lugha (Android)

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi.