Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Marafiki wa Amani

Marafiki wa Amani

LUKA 10:6

Asubuhi

  • 3:40 Muziki

  • 3:50 Wimbo Na. 58 na Sala

  • 4:00 Karibuni, Marafiki wa Amani!

  • 4:15 Endelea Kuwatafuta Marafiki wa Amani

  • 4:30 Mruhusu Mkuu wa Amani Akusaidie Kupata Marafiki wa Amani

  • 4:55 Wimbo Na. 103 na Matangazo

  • 5:05 Marafiki wa Amani Hawatajifunza Vita Tena Kamwe

  • 5:35 Wakfu na Ubatizo

  • 6:05 Wimbo Na. 79

Alasiri

  • 7:20 Muziki

  • 7:30 Wimbo Na. 76

  • 7:35 Mambo Yaliyoonwa

  • 7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

  • 8:15 Mfululizo: Marafiki wa Amani Husaidiana

    • • “Fungueni Kabisa Mioyo Yenu”

    • • Wasaidie Vijana Wafikie Malengo Yao

    • • Waheshimu Waliozeeka

  • 9:00 Wimbo Na. 57 na Matangazo

  • 9:10 Jinsi Marafiki wa Amani Wanavyoshinda Uovu kwa Wema

  • 9:55 Wimbo Na. 45 na Sala