Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAEBRANIA 7-8

“Kuhani Milele kwa Mfano wa Melkizedeki”

“Kuhani Milele kwa Mfano wa Melkizedeki”

7:1-3, 17

Melkizedeki alikuwaje mfano wa kinabii wa Yesu?

  • 7:1—Mfalme na kuhani

  • 7:3, 22-25—Hakuna rekodi ya waliomtangulia au waliomrithi

  • 7:5, 6, 14-17—Aliwekwa rasmi kuwa kuhani, si kupitia urithi

Ukuhani wa Kristo ni bora kuliko ukuhani wa Haruni katika njia zipi? (it-1 1113 ¶4-5)