Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Mazoezi ya Picha

Farao Amtukuza Yosefu

Pakua picha ya Yosefu, andika vitu vitatu ambavyo vimekosekana, unganisha nukta, na kisha upake rangi mchoro.

 

Habari Zaidi Katika Mkusanyo Huu

Ndoto ya Mwokaji Mikate

Pakua na uchapishe ukurasa huu wa kupaka rangi, na utafute tofauti zilizopo kati ya picha hizo mbili.

Yosefu Anauzwa Utumwani

Pakua na uchapishe ukurasa huu wa kupaka rangi, na tafuta mambo mawili ambayo hayapatani na hadithi hii ya Biblia.

Akiwa na Silaha Chache, Daudi Atenda kwa Ujasiri

Patanisha wahusika wa Biblia na vitu vyao.